Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

nakusubiria kwa hamu ODM wangu......

Tatizo haka kabajaji kangu kamezidiwa nguvu na haya matairi ya trekta nliyoyaweka ili kukabiliana na pancha za kijinga....

Jiandae, nna kiu ya watu wanne.:lying:
 
Sijambo..karibu hapa naangalia maadhimisho ya misa ya mwaka wa imani...karibu tujumuike.

Haya maadhimisho yanayofanyika wakati watakatifu wako likizo sijui kama zina mashiko..... Njoo hapa Calabash tumtukane shetani kwa nguvu ya bia.
 
Shetani nimemshinda nguvu...mim namtukana kwa nguvu ya divai tu....
 
Tatizo haka kabajaji kangu kamezidiwa nguvu na haya matairi ya trekta nliyoyaweka ili kukabiliana na pancha za kijinga....

Jiandae, nna kiu ya watu wanne.:lying:

tujichange tununue hata Vitz........

nilijua ya watu 6 Kumbe wa 4......hapo na manage bila matatizo we njoo tu
 
Shetani nimemshinda nguvu...mim namtukana kwa nguvu ya divai tu....
Hujajua divai ni colgate ya ibilisi? Nakushauri tumia Grants kumloga shetani...... Awe mbwa koko...

tujichange tununue hata Vitz........

nilijua ya watu 6 Kumbe wa 4......hapo na manage bila matatizo we njoo tu
Yeleuwiiiiiii............ ngoja nikaongeze nguvu wallah....😎😎
 
Hahaaaa siku hizi jamani hawa madada watawamaliza wanaume dhaifu wote
 
Jiandae kwa interview global publishers naona u mdaku mzuri tuuu
 
Kashazoea Grants nikitumia hiyo ndo kwanza namuongezea nguvu ila tangia nitumie divai ananikimbia akisikia jina tu kabla hajaniona...
Hujajua divai ni colgate ya ibilisi? Nakushauri tumia Grants kumloga shetani...... Awe mbwa koko...

Yeleuwiiiiiii............ ngoja nikaongeze nguvu wallah....😎😎
 
Haya maadhimisho yanayofanyika wakati watakatifu wako likizo sijui kama zina mashiko..... Njoo hapa Calabash tumtukane shetani kwa nguvu ya bia.

. . . Geez!! What? Wamebaki wataka-VITU tu eeh?
 
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe
Uumetumwaa?!
 
Haya maadhimisho yanayofanyika wakati watakatifu wako likizo sijui kama zina mashiko..... Njoo hapa Calabash tumtukane shetani kwa nguvu ya bia.

Niko hapa kwa mama Kamche... nasubiri zinipande hata nguo NTAFUA...
 
Back
Top Bottom