Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

aisee, yaweza akawa wamachame au warombo ila kafanya makazi ntwara ....
 
Namchabo hapa jamaa kasinzia. Simuongeleshi hata.
 
Jamani tufike mahali tujifunze. Watu siku hizi hawatanii! Hasa kwenye masuala ya mahusiano.

Mungu wangu unahisi huyu atatumia method ipi,naomba huyu mtuhumiwa asiwe karibu na ndugu,ila ndio hivyo mashost wameshabambikiwa nao kesi
 
unadhani nilikumbuka hata kurekodi? Jamaa yupo serious sana,anasema huyo mwanamke aombee apate ajali njiani lasivyo atamuua na haogopi kulala polisi. Halafu huyo mwanamke anamjibu kunya mshkaji

na apate ajali kweli............
 
Kuua siku hizi imekuwa jambo la kawaida....ndo binadamu tumefikia hapa kuona suluhu ya matatizo kwenye mahusiano ni kuua...
 
Kuua siku hizi imekuwa jambo la kawaida....ndo binadamu tumefikia hapa kuona suluhu ya matatizo kwenye mahusiano ni kuua...

Sister hujambo mama? Nimekumisi kama keki ya arusi yangu.....
 
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe
Jamaa ana lafudhi ya KI-CHAGGA?
 
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe

Kuna namna umejichanganya na kufanya ujumbe usieleweke.

Jamaa anaongea na demu au mke?
 
Back
Top Bottom