ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,648
- 14,308
Hilo jina lake tu ni tusi huyo achaneni nae sisi wasukuma tuko pamoja na Mama hao wapuuzi .Kwanza mm nashukuru ndugu yangu hakuiacha inchi kwenye vita kwa hiyo hayo matatizo mengine Mama najua atayamaliza .Jamani hebu tujenge nchi hawa wanao taka mama ashindwe wakafie mbele huko shenzi zao kabisa...Kuna jamaa linaitwa Jitombashisho, linalia Kisukuma hadharani mpaka watu wanalishangaa!

