DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Kuna jamaa linaitwa Jitombashisho, linalia Kisukuma hadharani mpaka watu wanalishangaa!


mbona bado TU? Watalia Sana AWAMU hiii.Mama apewe Miaka 15, asipotaka alazimishwe tu
Kuna jamaa linaitwa Jitombashisho, linalia Kisukuma hadharani mpaka watu wanalishangaa!


mbona bado TU? Watalia Sana AWAMU hiii.
Katishwa bimkubwa katishikaI have taken a U-turn kama huyu mama anasema ni viji Tv vya mikononi na si magazeti, basi tuna hasara tupu. hamna kitu hapa CCM ni ile ile. Tujiandae mwendo wa watu wasiojulikanana kila mabaya ya Jiwe yako pale pale!
Kigogo kasema hamna kitu pale ni blah blah!Katishwa bimkubwa katishika
nakula na Familia yangu. Jifunzeni kuwa constructive. Move on. Mama Samia Ni CCM. NEVER FORGET THAT. Na Kwamba hata kama wana makundi haitawafanya wawakumbatie Wapinzani kwenye uchaguzi.
and she will do well in her capacity BUT kuendelea kwa Tansania Ni Kazi yetu. Tufanye Kaziiiiii. Sehemu ya Rais Ni ndogo sana kama Sisi hatutabadilika. Sisi Ni wote. Watendaji na watu wote. mwaamke ni mwanamke tu, haya ni manjonjo tuMh ina maana bimkubwa keshazidiwa!?
Aisee huyu jamaa ana mfuata mwenda zake siku sio nyingi!!
Yaani mmesha poteana mapema sana na ndio sekunde ya 2 kipindi cha kwanzaKubali tu umendika porojo.
Aisee tumpe muda me nina shukuru nimepata usingizi maana sijapata usingizi miaka mitano iliyopita.mwaamke ni mwanamke tu, haya ni manjonjo tu
anaanza kuyumbishwa, hili la magazeti ni dalili kuwa hawezi. Hili jambo dogo yakija makubwa ya katba inakuwaje? hwzi kabisaAisee tumpe muda me nina shukuru nimepata usingizi maana sijapata usingizi miaka mitano iliyopita.
Kila siku unawaza kuvamiwa na TRA na kuporwa!
Mkuu lazima kuna kitu alikumbuka pengine watu wangedai fidia kubwa kwa kufungia bila kufuata taratibu!anaanza kuyumbishwa, hili la magazeti ni dalili kuwa hawezi. Hili jambo dogo yakija makubwa ya katba inakuwaje? hwzi kabisa
utakufa wewe na familia mtamuacha anadunda tuAisee huyu jamaa ana mfuata mwenda zake siku sio nyingi!!
Apo ana tamani ata leo afe!!
Nina amini hisia zangu sana