Mkimzingua ataunda chama chake

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,708
Kuna kundi dogo faidika la utawala uliopita ile taharuki ya msiba wa bygone inawaisha sasa na kujikuta tayari mambo ni moto fire, wanashuhudia live jinsi mtandao wao unavyopukutishwa kwa kasi ya moto wa kimbunga.

Wameshasoma mchezo tayari... Hatari iko wazi mbeleni na kama Bimkubwa akiendelea na moto huu huu na support hii hii, hili kundi linaiona Segerea ikiwa makazi yao mapya huko mbeleni, na pengine kushtakiwa kwa uhujumu uchumi, utesaji na mauaji
Sasa wafanyeje? Pesa wanayo na wanajua nguvu ya pesa... Maisha ni magumu na wanajua jinsi elfu 10 ilivyo kubwa kwasasa.

Wanaunda mtandao mpya wa vijana waganga njaa mitandaoni ikiwemo JF halafu wana fight back.. Hao vijana kwa maelekezo maalum wana crush, wanabeza, wanakejeli kila anachofanya Rais Samia Suluhu.. Wanataka ku downgrade ili aonekane hafai, hana uzoefu na anakurupuka...!!!

Kwa shida na uchu wa pesa mbuzi wa vijana wetu hili kundi litawapata wengi sana..kwa mfano hapa JF tayari wameshawapata wasiopungua 10 wote wamejiunga kati ya 2016 na 2019...na wengi wao ni zile ID za hakiba ya Lumumba Bk7
Sasa mama ndio Rais na mwenye mamlaka yote... Wakae watulie.. Kama anaifanyia kazi manifesto ya CHADEMA kwa asilimia 100 ni kwa faida ya wote... Mkizidi kumzingua ataivunja serikali aunde chama chake agombee upya ..ASHINDE KWA KISHINDO awazingue vizuri sasa!

NASEMA TULIENI TULI...MBATIZWE UBATIZO WA MOTO.
 
Hao vijana watapambana na sisi raia. Mama asiwe na presha nao. Sisi ndio tutakua ngao yake Mama yetu kipenzi, yeye apige kazi tu.

Mama yetu ambaye toka ameshika madaraka hata hajamaliza mwezi mmoja ila raia tuna amani tele moyoni (Hajagawa hela barabarani, hajaongeza mishahara wala hajaajiri waalimu bado). Ila roho zetu zimepata utulivu na mapumziko.

Tutapambana nao kama tulivyo pambana na Marehemu Mzee Wao, mpaka akapata stroke. Ikibidi hata kuwakeketa bila ganzi tutawakeketa tu.

Hii nchi ilikua imeshaangamia, ilifika hatua kiongozi wa serikali anageuza kanisa kuwa sehemu ya kwenda kuwachamba waongoza ibada mbele ya waumini wao. Mpaka unajiuliza huyu amekwenda kufanya ibada au amekwenda kuwashushua Ma Askofu au kwenda kusambaza propaganda???
 
100 Reactions
Reply
Back
Top Bottom