Tumeokolewa ndani ya kina kirefu cha maji bila kutarajia na mawimbi makubwa ya maji yani nitatoa zaka kubwa sana!Ha ha haaaaa, watu mna mambo!!
Huyu ni dume la kuku sio!CC M dume la mbegu , hakuna chama kinafurukuta ama uunge juhudi, ndio kama hivi tunaona 🤣🤣
Alisitishiwa buku 7 zile kwa kipindi fulani maisha yakawa magumu so ameamua kurudi kwao kijijini huko Magu Mwanza kuvua dagaa..
Wewe atakupa kazi ya kufungua mabomba ya maziwa maana ndie kiongozi hukoNa tutamfata,lol
Kama aliyewahi kuwa Rais wa MalawiMawazo yangu tuu lakini hata CDM patamfaa sana
Yule Kawe alumin nadhani uviko imetenda yake pengine!Alisitishiwa buku 7 zile kwa kipindi fulani maisha yakawa magumu so ameamua kurudi kwao kijijini huko Magu Mwanza kuvua dagaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAMKUMBUKA ALIYEKUWA RAIS WA MALAWI ALIUUNDA CHAMAFASTA MUDA MFUPI KABLA YA UCHAGUZI NA AKASHINDAMkuu kuunda chama sio kitu rais kama unavyodhani.
kupata wafuasi sio lelemama. Kwa sasa wanaoongea positively kuhusu rais samia ni mijini, Simaanishi kuwa viijiji wanaongea vibaya ila hawana mzuka wa hawa wa mjini, rHuko vijijini bado watu wanajua sisiemu sasa uwaambie ishu za chama kingine hawakuelewi na sasa hivi kuna kitu kibaya kinajengeka inatakiwa rais ajitahidi sana kuku-negate, kuna kitu kinaanza itwa SUKUMA GANG, yawezekana wanaoita hivi wanamaanisha wachache ila wasukuma wao kwa ujumla wao (mwanza, shinyanga, tabora) wanachukulia hii ni wao wote....otaleta madhara. Imajin ifike mahali mikoa hiyo iwe na mentality mentality ya wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro kuhusu vyama itakuaje...
Tutake tusitake, ili ushinde urais kura za mikoa hii ni muhimu sana.
Alikanyagwa uwanja wa taifa!
Usijidanganye CCM ni hile hile tu ,na bado wamoja usijidanganye kwamba kuna makundi ndani ya chama.
Point ni kitu gani ktk muktadha wa uzi?Huna point!
We unadhani waungaji mkono wa Mh. SSH ni wa kisiwani?!!!Jipe moyo Nyuma ya key board.
Mkituzingua tunawafungia kisiwani.
Yupo anakula limao
Mkuu kuunda chama sio kitu rais kama unavyodhani.
kupata wafuasi sio lelemama. Kwa sasa wanaoongea positively kuhusu rais samia ni mijini, Simaanishi kuwa viijiji wanaongea vibaya ila hawana mzuka wa hawa wa mjini, rHuko vijijini bado watu wanajua sisiemu sasa uwaambie ishu za chama kingine hawakuelewi na sasa hivi kuna kitu kibaya kinajengeka inatakiwa rais ajitahidi sana kuku-negate, kuna kitu kinaanza itwa SUKUMA GANG, yawezekana wanaoita hivi wanamaanisha wachache ila wasukuma wao kwa ujumla wao (mwanza, shinyanga, tabora) wanachukulia hii ni wao wote....otaleta madhara. Imajin ifike mahali mikoa hiyo iwe na mentality mentality ya wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro kuhusu vyama itakuaje...
Tutake tusitake, ili ushinde urais kura za mikoa hii ni muhimu sana.
Ni kosa kutajataja ID za watu