Mkimzingua ataunda chama chake

Mkimzingua ataunda chama chake

Maza ana sound safi sana,,,, hakuna lolote alilobadilisha hadi sasa lakini kauli zake zinaleta matumaini sana na ari ya kupambana...

Watu wa JIWE wakituzingua,, tutazinguana
 
"Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano" - Kazi Iendeleee. Ndiyo Habari ya mjini. Mengine ni majungu tu. Mama finyaaaa mpaka watoke nyama layer ya tatu.
 
Mshana Jr haaa wapi,umechemsha vibaya sana.
CCM ipo imara na mpaka sasa mipango nusu ishakamilika ya kushinda chaguzi zote zinazokuja hadi uchaguzi wa 2025.
CCM haijawai kuparaganyika kama unavyotamani na haitokuja kuwa.
Wewe huijui CCM wewe.
Utasubiri sana hapo stendi ya daladala mtaa wa Ufipa.
ccm ipi mojawapo? Ukiweza kujijibu kesho nahamia utopolo fc nikawe mataga
 
Ninaamini wabadhirifu, mafisadi na wakwepa kodi hawajamsoma vizuri mama! Watakapogundua kuwa hayuko upande wao, watamchukia kupindukia!
Wako vikaoni vya siri sana wanasoma upepo na kupanga mikakati yao
 
"Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano" - Kazi Iendeleee. Ndiyo Habari ya mjini. Mengine ni majungu tu. Mama finyaaaa mpaka watoke nyama layer ya tatu.
Mpaka wawe hivi
JamiiForums-1880355704.jpg
 
Hao vijana watapambana na sisi raia. Mama asiwe na presha nao. Sisi ndio tutakua ngao yake Mama yetu kipenzi, yeye apige kazi tu.

Mama yetu ambaye toka ameshika madaraka hata hajamaliza mwezi mmoja ila raia tuna amani tele moyoni (Hajagawa hela barabarani, hajaongeza mishahara wala hajaajiri waalimu bado). Ila roho zetu zimepata utulivu na mapumziko.

Tutapambana nao kama tulivyo pambana na Marehemu Mzee Wao, mpaka akapata stroke. Ikibidi hata kuwakeketa bila ganzi tutawakeketa tu.

Hii nchi ilikua imeshaangamia, ilifika hatua kiongozi wa serikali anageuza kanisa kuwa sehemu ya kwenda kuwachamba waongoza ibada mbele ya waumini wao. Mpaka unajiuliza huyu amekwenda kufanya ibada au amekwenda kuwashushua Ma Askofu au kwenda kusambaza propaganda???
Well said!!!
IMG_20201208_085607.jpg
 
Uhuru wa kutoa maoni ni haki sioni kama wamekiuka hilo
Kumbe nawe pia ni mmoja wao!
Team Praise & Worship (2016-2019).
Lakini kutokana na mafuriko yaliyotokea, umeamua kubadilisha ID na kurudi kivingine.
Member since: 2021 April, 06.
 
Huelewi wala hujielewi! Kwani Tanzania hakuna huo mkate unaosaka huko utemwako mate? Akili ya mlo iko tumboni. Unaiendeleza Tanzania wewe?

Uchambuzi umejitenga nao. Unapuyanga. Chama chochote kilichosajiliwa kina maslahi ya Tanzania. Kama sivyo, hakuna usajili. Waulize DP kutambua JMT. Kuliko vyama vyote ni JMT. Hata Nyerere kuna siku alitaka kurudisha kadi ya ccm. Hakuna siku angewaza kurudisha kitambulisho cha utaifa. Vyama vyote kwa sababu ya watu vinaweza zingua. Na chama chochote kwa sababu ya mtu sahihi kinaweza kutuvusha. Soma, tafakari!
 
Akili ndogo ni shida. Haijui baya wala zuri. Akili ndogo inaumiza. CDM wanapinga kila kitu. Leo CDM wameunga juhudi! Tulia kwa kutuliza munkari. Upeo wako wa kuchambua mambo una mshikeli. Pamoja na Nyerere kupendwa alipingwa vikali kuipigia kampeni ccm 1995. Alitakiwa abaki baba wa taifa. Apate uhalali wa kukemea litokeapo kosa bila nongwa. Alipongezwa jimboni kwao kwa kutomkampenia mgombea wa ccm. Hata ccm ikifanya mambo hovyo itapingwa vikali. Ikitenda vema inapongezwa. Kupongeza sio kuunga juhudi. Akili ndogo inaumiza!
 
Atakwenda kama kawaida tena mchana kweupe, hutaki usimpe kura yako maana hiyo ndiyo demokrasia.
Muulize Lissu aliingia Geita saa ngapi? Chato walimpa maji ya kunywa. Wakabarizi. Wakakumbushana enzi za kutetea wachimba madini wadogo. Ilikuwa furaha. Hawakusahau kumweleza shida walizokuwa nazo tena za kuletwa na awamu pendwa ya tano. Wakati wanaagana wakamuuma sikio: Hilo linghosha wanalichagua wasiolijua. Tunalijua gete gete hatulichagui. Tutakuchagua wewe hatukujui! Hata uwe mbaya vipi huwezi kumfikia huyu.
 
Back
Top Bottom