Mkichat kila wakati "Niambie"

Akisema nambie namwambia kwahiyo leo nakupukuchua akijibu ndio basi neno niambie haliniudhi tena ila akisema hapana nalichukia hilo neno mimi
 
Hata wanaume wapo aiseee kila Mara "niambie" sasa kila mida niambie mpk utaambiwa usichotaka kusikia. Kwa kweli linakera sana, ht km mtu ulikuwa huna nia ya kuomba ela utajikuta umeshawishika kuomba.
Unamwambia hicho anachokitafuta, nipe milioni kumi.
 
Mi manzi yangu alitumia hilo neno "nambie" nikamjibu nataka 700000 hadi leo hii hajawahi kulitumia tena.
 
ok
nambie
 
jaman mbona kwangu hilo neno la kawaida tu,,mpenzi wangu analipenda sana mara,ila yeye ana akili analinogesha zaidi utaskia,,"niambie my hubby nikupendae!!"daaah hadi raaaaaaaha
 
jaman mbona kwangu hilo neno la kawaida tu,,mpenzi wangu analipenda sana mara,ila yeye ana akili analinogesha zaidi utaskia,,"niambie my hubby nikupendae!!"daaah hadi raaaaaaaha
Linaloboa ni hili "niambie"
Halafu hakuna mnogesho wala nini...iwe kwenye txt au maongezi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…