Mkeo/mpenzio afanyeje ukubali.....

Geoff kabla ya ndoa yako hamkupima?kupima ni muhimu ili kujua afya zenu,mimi huwa nasema hata walio SeroPositive kwa sasa na wao kuna siku hapo nyuma walikuwa seroNegative.Ni muhimu kujua immunity.Ila kusema ukweli unatakiwa uwe tayari kupokea majibu.
unajua hizi formalities ZINATUMALIZA!kwa namna ulivyouliza swali,wewe bado upo kwenye zile zama za NO SEX BEFORE MARRIAGE!life has changed mama

hebu liset vizuri hilo swali nilijibu:D:D
 
Hahahaha ndo hivyo unaishi kwa matumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu baada ya kupima.
Yaani ukipita barabarani unayaona masanduku unajisemea moyoni any time nitawekwa mle.
Alafu baba_Enock vp Billionare clup siku hizi hupiti piti? Juzi kati nilikuwepo pale kula beer za 2000 samahani kwa offtopic.

Siku hizi napata mitaa ya Kapongo - Tegeta

Halafu mtu aniambie eti nipime? na BIA yangu ishindwe kupita kwenye koo!
 
halafu kibaya zaidi....!
1-WATAKUZIKA UCHI
2-WATAKUKANYAGIA MKEO
3-MALI ZAKO NDUGU ZAKO NA WANAO WATAZITUMIA KUFANYA UASHERATI

nikiwaza hilo,ANGAZA NAPAONA KAMA KUZIMU!lol

Hehehehe lol kuna jamaa alirithiwa mke wake baada ya kupewa majibu akaanza kusononeka baadae kitandani jamaa wakawa wanajimegea taratiiiiiiiibu mme yupo ndani anaugulia kibaya zaidi mwanamke alikuwa anasema wazi wazi huyu jamaa kwa nini hafi mapema na kamwachia mali kibao jamaa alipo vuta pumnzi tu baada ya mwezi vidume vinatawala pesa ya marehemu sasa hivi lol.
 
unajua hizi formalities ZINATUMALIZA!kwa namna ulivyouliza swali,wewe bado upo kwenye zile zama za NO SEX BEFORE MARRIAGE!life has changed mama

hebu liset vizuri hilo swali nilijibu:D:D
ok kabla ya kujuana kimwili na wife wako hukupima?
 
halafu kibaya zaidi....!
1-WATAKUZIKA UCHI
2-WATAKUKANYAGIA MKEO
3-MALI ZAKO NDUGU ZAKO NA WANAO WATAZITUMIA KUFANYA UASHERATI

nikiwaza hilo,ANGAZA NAPAONA KAMA KUZIMU!lol

Mkuu, hapo penye red imebidi nitoke nje kidogo ya Cafe nicheke!:)
 
Mama 5J,
Hiyo red, Kama mnaishi kwa uaminifu kwenye ndoa yenu una wasi wasi gani? Kama huna mashaka umeguswa na damu chafu au umepita nje ya bedroom mliyohalalishiwa kwa nini kupimapima???
Sababu ya kupima ni kwa sababu tunataka kuongeza mtoto mwingine.Hivyo lazima tujue status ya afya zetu.
 
halafu kibaya zaidi....!
1-WATAKUZIKA UCHI
2-WATAKUKANYAGIA MKEO
3-MALI ZAKO NDUGU ZAKO NA WANAO WATAZITUMIA KUFANYA UASHERATI


nikiwaza hilo,ANGAZA NAPAONA KAMA KUZIMU!lol


Wewe G leo umenimaliza!

Hivyo ni vitu ambavyo mwanamume hatamani viingie kichwani mwake. Sasa eti mtu anataka uanze kuamka na navyo na kulala navyo siku zako 2-3 zilizobaki. Afadhali aniache tu nijifie bila kuwa na hayo mawazo ambayo ni hata kuliko VVU vyenyewe!
 
Wewe G leo umenimaliza!

Hivyo ni vitu ambavyo mwanamume hatamani viingie kichwani mwake. Sasa eti mtu anataka uanze kuamka na navyo na kulala navyo siku zako 2-3 zilizobaki. Afadhali aniache tu nijifie bila kuwa na hayo mawazo ambayo ni hata kuliko VVU vyenyewe!
ni kweli mkuu!
NIFE MDOGO MDOGO haina mbaya
 
Geoff kabla ya ndoa yako hamkupima?.

Hizi sheria mnazo taka kuanza kujiwekea mtafukuza wauumini sana kanisani.

Hilo linasikitisha sana na kufanya watu wapoteze hata hamu ya kuishi. Ila nimejikuta nacheka hadi machozi yananitoka. Nisameheni jamani, hili suala ni zito!

Hehehehe mkuu ndo hivyo wewe umepima alafu unaambiwa CD4 zimeshuka hapo ndo mashaka yanaanza unajua anytime kwaheri Kamanda hapo ndo kasheshe ukiona jeneza mpaka mwili unakusisimuka

juzi nimepima damu hahaha nimepewa majibu kesho yake ile napewa majibu kitu cha kwanza ilikuwa ni kuangalia kwenye HIV .

Sasa mama 5J's unapima hujiamini mpaka unaenda kuchekiwa afya yako? Kama unajiamini huwezi enda kupima HIV ukienda basi wewe na mmeo hamwaminiani hata kama nae kapima amejikuta mzima.

Siku hizi napata mitaa ya Kapongo - Tegeta

!

Hahahaha Baba_Enock huko ipo siku lazima nije vp akina Eliza wapo lakini maana mm najali huduma zaidi.
 
halafu kibaya zaidi....!
1-WATAKUZIKA UCHI
2-WATAKUKANYAGIA MKEO
3-MALI ZAKO NDUGU ZAKO NA WANAO WATAZITUMIA KUFANYA UASHERATI

nikiwaza hilo,ANGAZA NAPAONA KAMA KUZIMU!lol

Hahahahaha njemba huumia sana zinapowaza kwamba zikirudisha namba basi kutakuwa na njemba nyingine zinafaidi na Warembo wao...LOL!
 
Halafu jamani kuna kitu kimenijia akilini

Ukiangalia hili swala la HIV/AIDS limekuwa popularised sana sana, hasa kwa nchi za ulimwengu wa tatu

wakati huo huo, kuna magonjwa kama malaria, hayapewa attention kama ya ukimwi

naanza kuhoji nia na madhumuni ya kuwataka watu kupima kwa sana kama sio kwa madhumuni ya research zaidi, yaani kujua sasa wangapi wamekamatika na hence DAWA (ARVS) kiasi gani kinahitajika? mjue sio watu wote wangependa kuona kwamba hawapati faida...

Huenda makampuni haya ya dawa yangependa kupata faida hasa kwa kuuza ARVS kwa bei ghali kwa walioambukizwa tayari..lakini kweza kujua soko limekaaje, inabidi kufanya utafiri..hence hili la 'kulazimishana' kupima

manake sawa sio LAZIMA lakini the way linavopigiwa kelele, unajiuliza he mbona kama lazime, eti uwezi KUISHI KWA MATUMAINI?

Mimi bado analogy ya AK47 inahold, hasa ninapofikiria upande wa pili wa shilingi

Hivi niwaulize kuna mtu alishaangalia filamu ya "the Constant Gardener" au kusoma kitabu chake? mi nimefanya vyote na kusema kweli nilikuwa shocked!

haya ni mawazo yangu tu wajameni..sipingani na juhudi za kuutokomeza ukimwi...huenda utatokomea au kuwa kama ilivo gonno ay syphilis...
 
Hahahahaha njemba huumia sana zinapowaza kwamba zikirudisha namba basi kutakuwa na njemba nyingine zinafaidi na Warembo wao...LOL!
yaani bubu hapo ni pachungu KULIKO VVU yenyewe!

mimi huwa nikiwaza kwamba nikirudisha namba kuna lijitu litamkanyaga mshiki wa x-pin LOL!NACHANGANYIKIWA!najikuta naagiza valuu ya nne ghafla
:D:D:D
 
1. Mtu akiitwa polisi akaogopa ana tatizo(labda ni mhalifu wa aina fulani)
2. Hakuna kitu kama kuishi kwa matumaini ila kuna neno "courage" pia inategemea na aina ya maambukizi kwa mfano kwenye ajali au kuhudumia mgonjwa wa ukimwi. Pia kuna watu wamezaliwa na baraka za kuwa na furaha muda wote ataapate msiba anacheka, ni watu wachache sana haa duniani tuko hivyo,hata akikuta ana UKIMWI atatabasanu na huyu mtu ataishi muda mrefu sawa na ambaye hana ukimwi,tu kuna jina la kitaalamu la aina hii ya watu ila nimesau kidogo hapo, mfano hai hapa JF ni Chrispin.
3. Baba akimwambia maam twende ukapime mama atadai "huniamini?" even to some % kwa wanaume pia.
 
Hahahah wewe umepinda kabisa......... hawapatikani hawa siku hizi unless mnapima kwanza!!

Hahahahaha thubutu wapo sana alafu watalaamu wanathibitisha kuwa akina Eliza 95% wapo safe maana kila mtu anae ingia pale anajidhatiti kikamilifu wkt wa kudumisha mila. Na siku hizi wanapimwa afya.
 
Back
Top Bottom