Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,574
- 3,029
Wanaume wengi wanaishi kwenye ndoa na inaonekana ndoa sio suluhisho la kukidhi haja zao za kimwili.Hii imetokana na sababu nyingi.
Kuna mtu asubuhi ameandika Uzi kuwa “Vijana mkiingia kwenye ndoa msidhani mtapata mapenzi muda wote kama mlivyodhani”
Nataka kuuliza nini kinachowapa kiburi wanawake kutotoa penzi kwa Waume zao maana wanapoingia kwenye ndoa tayari wanajua kuwa suala la mapenzi sio ombi Tena na mwanaume kuhudumia familia pia sio ombi.
Ningependa kujua pia ni halali mwanamke kukataa kutoa penzi Kwa mume Kwa sababu kama hizi;
1 Hamrithishi (kimoja chalii)
2 Hajiskii au anachoka Sana Kila siku baada ya Kazi
3 Mwanaume amemkasirisha
4 Mwanaume amekataa kumruhusu kwenda vikoba au kufanya mambo Fulani
NB; TUCHUKULIE HUYU MWANAMKE
a)Hayupo kwenye siku zake
b)Hanyonyeshi
c) Ana AFYA vizuri tu
Nimesikitika kuskia watu wapo kwenye ndoa na wanaishi kama kaka na dada .
Tutawezaje kuwashawishi Vijana wanaosema KATAA NDOA waweze wakakubali NDOA Kama wenye ndoa wanapitia haya .Tutazidi tengeneza kizazi Cha hit and run na SINGLE MOTHERS.