Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Inamaana TRA hata Interview bado? Mi nikajua usaili ushafanyika maana kama deadline ya kuomba ilikuwa tar. 04 November 2021 mpaka leo January 03, 2022 si miezi miwili hiyo?????. Mwenye update yoyote kuhusu zile nafasi za TRA atujuze jamani
 
Kuna mwamba mmoja aliniambia idadi ya waombaji ni wengi sana, hivyo kupelekea mchakato wa kutoa majina kwenda hadi miezi miwili na kidogo japo mwezi huu wa january inasadikika yatatoka mkuu
 
Duh..sawa mkuu
 
Sawa mkuu, unajua ukweli wako asilimia 90 ya walioko tra huwa wamesoma chuo hicho Cha kodi, tena ma diplomas ni wengi hupata huko
Si kweli, nimesoma hapo na asilimia kubwa hawachukuliwi kutoka chuo Cha Kodi mpaka malamiko yameenda mbele.
 
Back
Top Bottom