Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??
Watoto wa wakubwa hawafanyi Kazi TRA. Tena kwa position hizo ndo hamna kabisa. Ingekuwa Tasac au TPA au hata TPDC ningekubali. TRA kawaida Sana. Endelea kusubiri utaitwa najua na wewe ni Job seeker
Afu watu hawajui tu kazi za tra zilivyo ngumu,kuzunguka Juani kama wale watu wa sales,pia target ya makusanyo unawekewa kulingana na ukubwa pamoja na hali ya uchumi ya wahusika.so hapo automatically watoto wa vibosile hizo kazi hawawezi
 
Ungefanya utafiti badala ya kukurupuka
 
Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??
Watoto wa wakubwa hawafanyi Kazi TRA. Tena kwa position hizo ndo hamna kabisa. Ingekuwa Tasac au TPA au hata TPDC ningekubali. TRA kawaida Sana. Endelea kusubiri utaitwa najua na wewe ni Job seeker
Wewe endelea kuota, you know nothing about TRA eti TRA kawaida sanaaa!!!!!😂😂 mm nna mtu wangu wa karibu sana yupo TPA ameomba kuhamia TRA ni mwaka wa pili sasa anaangaika.
 
Afu watu hawajui tu kazi za tra zilivyo ngumu,kuzunguka Juani kama wale watu wa sales,pia target ya makusanyo unawekewa kulingana na ukubwa pamoja na hali ya uchumi ya wahusika.so hapo automatically watoto wa vibosile hizo kazi hawawezi
Kabla ya kusema kuzungka juani ungeuliza wanakula per diem kiasi gan?
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza nene

Acha kudanganya watu pia husikariri kila apatae kazi lazima awe na connection mkuu wengine wanapata kazi bila hata connection na wapo wengi tu husipende kukatisha watu tamaa
 
Acha kukurupuka mbulula wewe, kuna sehemu nimetaja connection hapo au nimemkatisha mtu tamaa!!!. Kwa taarifa yako ktk mambo ambayo sijawai kuyafikiria in my career path ni hizo connection. Nishafanya kazi private sector kampuni mbili tofauti pasipokuwa na hizo connection na miaka miwili iliyopita nimeajiriwa serikalini pasipokuwa na hizo connection kwa ufupi siamini kufanikiwa kupitia connection ata kama wapo waliofanikiwa kwa connection, it's nonsense to be down to someone bcoz of favor.
 
Unajitapa umefanya kazi sehemu nyingi afu hata hujui namna per diem zinavyopatikana na ulipwaji wake?pathetic

Jamaa inaonesha ana kaushamba flani hivi yani wakuja anaongeaongea vitu hata hajui
 
Acha kukurupuka mbulula wewe, kuna sehemu nimetaja connection hapo au nimemkatisha mtu tamaa!!!. Kwa taarifa yako ktk mambo ambayo sijawai kuyafikiria in my career path ni hizo connection. Nishafanya kazi private sector kampuni mbili tofauti pasipokuwa na hizo connection na miaka miwili iliyopita nimeajiriwa serikalini pasipokuwa na hizo connection kwa ufupi siamini kufanikiwa kupitia connection ata kama wapo waliofanikiwa kwa connection, it's nonsense to be down to someone bcoz of favor.

Hakuna mtu kataka kujua unafanya kazi wapi au ulifanya kazi wapi acha kujimwambafai
 
Unajitapa umefanya kazi sehemu nyingi afu hata hujui namna per diem zinavyopatikana na ulipwaji wake?pathetic
Wewe kweli mbulula tena mbulula plus, hapa nimezidi kukuona mbulula ''eti namna per diem zinavyopatikana''. Per Diem ni daily allowances kwa mfanyakazi ambaye anaenda ku execute majukumu yake ya kikazi nje ya eneo lake la kazi. Per diem + 20% of per diem inafahamika kama incidental ndio unapata total allowance anayolipwa mtumishi kwa siku na per diem utofautiana baina ya kampuni na kampuni, taasisi na taasisi.
 
mnatumia nguvu nyingi ku-discuss per diem na mwalimu wa shule ya msingi Kibaigwa, Atawasumbua tu. Yeye per diem yake ni sh.200 ya mitihani ya hisabati kila Ijumaa.
 
Hakuna mtu kataka kujua unafanya kazi wapi au ulifanya kazi wapi acha kujimwambafai
Wewe kweli kichwa chako kimejaa takataka 😀😀hivi kuna sehemu yoyote nimetaja jina la kampuni au taasisi ninayofanya kazi?!! nilichoeleza ktk makampuni mawili niliyowai kufanya kazi na mpaka ajira yngu ya sasa hivi sikuwai kuwa na connection na sio mtu wa kutegemea connection. Subject hapo ni connection
 
mnatumia nguvu nyingi ku-discuss per diem na mwalimu wa shule ya msingi Kibaigwa, Atawasumbua tu. Yeye per diem yake ni sh.200 ya mitihani ya hisabati kila Ijumaa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwalimu wa Kibaigwa primary school alaf inaonekana ni mwalimu flan Mnoko mnoko hivi😂😂
 
Mwaka Jana nilifanya mtihani wa customs officer pale duce cjui nimefelije ule mtihani yaani cjui mnk mdog angu alifanya kafau kbsa fresh baada nimekuja kurejelea faili fln HV deza nimelipata mahali maswal yote yalikuhemo mle kwa kweli ckujiandaa nilipomaliza mtiani nilienda Moja kwa moja Kulia zangu baharin nikitafakari nilivyofeli nilisikitika San leo hi mdog wangu Yuko kazin Tena likizo kbsaa mm bado
 
Never give up Bro wakati wako unakuja
 
Back
Top Bottom