Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha tusubiri mkeka utandikwe ndo tutafahamu vyema
Yaani hata wakiitwa 40,000 utakuta walio serious hapo hata hawafiki buku, vijana wanakwambia wanasubiri Mkeka utoke ndio waanze kujisomea [emoji1][emoji1][emoji1].
 
Hii Ngoma itavutwa hadi July basing na interview nyingi za TRA
Yaani tangazo litoke October then Waite interview June,yaani miezi 9 baada ya tangazo Lao.

Kitu Kama hicho kilishawahi kutokea kabla?
 
Naona ni hii ndo wanachelewa sana
Naona na aliyekua boss wa utumishi Xavier ametolewa na kwenda kua naibu katibu mkuu,huku Waziri wake nae akitolewa hio nafasi na kua Waziri wa Michezo.

Mambo Ni mengi aisee.
 
Back
Top Bottom