Hata mimi ninekumbana nalo na hilo jambo wananiambia sijaattached cheti cha form 4 wakati niliattached nikaachana nao tuJaman Mimi nili apply na wakanijibu received Cha kushangaza kwenye kuitwa usaili wanajibu sija attached cheti Cha diploma sijaelewa na kwenye account yangu Kila kitu kipo ivi kuna mtu mwenye tatizo kama langu anisaidie au ninamna ya kuwa punguza watu niliomba TRA
Ni kweli Tax naona notes ni nyingi mnooIla custom mna raha,hamna mambo mengi kama wazee wa Tax.
Nimeku pm ndugu nijibu plzNi kweli Tax naona notes ni nyingi mnoo
Nenda kwenye academic qualification. Kwenye sehemu ya diploma certificate...angalia kwenye view uone kama pdf inaonekana. Kama haipo that means u didn't attachMsaada jamn kuhusu Hilo Jambo
Hii tatizo limewakumba wengi maana unatuma application system inakwambia application accepted ila cha kushangaza matokeo ya kuitwa interview unaambiwa not shortlisted kwa sababu fulani ila kwanini system ikingekataa wakati unaombaNenda kwenye academic qualification. Kwenye sehemu ya diploma certificate...angalia kwenye view uone kama pdf inaonekana. Kama haipo that means u didn't attach
Tax si ishafanyika,au Tax ipi tena?Habarin wana Jf na Tax members ambao tuliisubiri kwa ham mpaka wengine kukata tamaaa , tafadhali tujuane wenye Interview Dodoma kesho saa Asubuhi, tupeane notes au any kind of hints and information about the Interview 2morro ........
Itakuwa tax assistantTax si ishafanyika,au Tax ipi tena?
Kama umecheck kwenye "My Application" na umeona umekuwa shortlisted na namba ya mtihani upo, we nenda.. Ile PDF isikuchanganyeKuna waliofanya jana trh 5 kuna wa leo trh 6 na kesho trh 7 , ila sasaaa kule ajira portal wameandika trh 7 venue wameweka na Mda wa usail , ila nikiangalia list ya walio chaguliwa sioni jina langu kuna info yyt hapo...
Au ndio kuharibu nauli huku manake naona pale kama haupo kwenye jiNa basi jihesabu haupo xaxaa kama wanajichanganya wenyewe iviiii
Ni kweli imenichanganya kias kwamba Nikata tamaa, mwishoni kabisa ndo nakuja kujiona namba 98..!!? Ila sasa toka mwaka jana sina vyet Og nilipata ajali ya moto mwaka jana vyet vyangu vikayeketea na moto xaxa sijui itakuwaje ila Aluta continua Mungu ndo anajua....Kama umecheck kwenye "My Application" na umeona umekuwa shortlisted na namba ya mtihani upo, we nenda.. Ile PDF isikuchanganye
ulifanya process zozote za utaratibu wa kupata vingineNi kweli imenichanganya kias kwamba Nikata tamaa, mwishoni kabisa ndo nakuja kujiona namba 98..!!? Ila sasa toka mwaka jana sina vyet Og nilipata ajali ya moto mwaka jana vyet vyangu vikayeketea na moto xaxa sijui itakuwaje ila Aluta continua Mungu ndo anajua....