Wametoa majina? Mi naona madogo wanalia tu,Nimepenya, ngoja tukajaribu bahati oral




ulifanya post ipi? matokeo kila mmoja kapata kwa akaunti yake binafsiNimefanya hayo matokeo ya ndio siyaoni
wametoa ...kila mmoja kajibiwa kwenye account yakeWametoa majina? Mi naona madogo wanalia tu,![]()

TayariWametoa majina? Mi naona madogo wanalia tu,![]()
Yaan wametoa PDF tuwekee hapa tuoneTayari
Sijaona PDF mkuu, naona kila mmoja kaambiwa kwenye inbox yake tuYaan wametoa PDF tuwekee hapa tuone
Ooh hapo sisi wambea hatuwezi ona acha tusubiri mkekaSijaona PDF mkuu, naona kila mmoja kaambiwa kwenye inbox yake tu
Ooh hapo sisi wambea hatuwezi ona acha tusubiri mkeka

kausheni tuuNimepenya, ngoja tukajaribu bahati oral
Nimecheki...nimeangukia pua pia!Duh matokeo ya Legal counsel yatakuwa ya mchongo/magumashi
Mi nahisi hizo nafasi 3 za legal counsel zina wenyeweNimecheki...nimeangukia pua pia!
Acha tu!Mi nahisi hizo nafasi 3 za legal counsel zina wenyewe