Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,206
Unajuaje kama mimi ni msomi ? Nilikwambia ? Huko napo ni kukariri na kutoa majibu pasipo na machanganuo sasa sijajua kama wasomi mpo hivyo ni watu wa assumptions tuKaka umeishia darasa langapi mnk swal unalouliza wew halina maana kbsa kwa msomi wa chuo
Ukiulizwa swali jaribu kujibu swali kama jibu unalo kama hauna ni bora kukaa kimya kuliko kujikuta mjuaji sasa hili ndio jibu gani ? Kwahyo watu kama sisi wenye uelewa mdogo hatutakiwi kuuliza maswali kama kama kuna jambo linatutatiza kisa maswali ni ya kijinga ? Ili swali nilouliza lina shida gani ? Au una kipimo cha maswali ya kuuliza ?
Mbona Shombe la Kisomali kanijibu kistaarabu
Be humble there is always bigger Fisher than you