Main point kabisa,, waache kuwafanya vijana wasio na Ajira ni Makolo.. watu hawana Ajira, pesa hawana wakienda huko kwa mawakili nao wanaendekeza njaa kama hawapati mishahara mwisho wa mwezi, utasikia wanakwambia Kila cheti ni 10,000/= kwanza huu uhalali wakucertify vyeti unatokea wapi hvi cheti OG na copy ipi Inamake-sense..? Alafu wafahamu kitu kimoja mawakili hawana mda wa kucompare vyate, kitu wanachowaza wao ni pesa tu ukiwapa pesa wanakugongea muhuri hizo copies na hata OG hawakuulizi ziko wapi.. So kwa mantiki hii mtu yeyote anaweza kucertify vyeti vya mtu yeyote bila kipingamizi.
As long as vyeti OG vinakaguliwa kabla ya Interview no problem.