duh pole sana ,wataelewa tuu ,mungu atafanya wepesi mkuuNimefanya vyote na uzuri kabla ya pale nilishaenda kwa mwansheria akavihakik vyeti vyangu na kugonga muhuri ku certify within. a week ndo majnga yakanitokea , so nna kopy ambayo tayari certifyed na mwanasheria xaxa hapo tatizo liko wapi waungwana
Kama hauna Original certificates nakushauri usijisumbue kwenda kuna rafiki yangu mpaka ametoa machozi amekataliwa kufanya usaili na yeye alikuwa na hizo certified copies Original alisahau kubeba. Labda kama umefata utaratibu wa kisheria wa kuweza kupata duplicate ya vyeti vyako vilivyopotea/ kuungua utumie kama supporting document. Kama hivyo vitu hauna usitupe nauli yako mkuu unless uwe unaishi Dodoma.Nimefanya vyote na uzuri kabla ya pale nilishaenda kwa mwansheria akavihakik vyeti vyangu na kugonga muhuri ku certify within. a week ndo majnga yakanitokea , so nna kopy ambayo tayari certifyed na mwanasheria xaxa hapo tatizo liko wapi waungwana
Usijisumbue hata kwenda kwenye usaili,wale jamaa hawatokuruhusu uingie kwenye chumba cha usaili,nilishuhudia mtu hana kitambulisho tu wamemkatalia kabisa.jamaa alitoa machozi akifikiria ametoka sengerema huko mpaka Dodoma then wanamzinguaNi kweli imenichanganya kias kwamba Nikata tamaa, mwishoni kabisa ndo nakuja kujiona namba 98..!!? Ila sasa toka mwaka jana sina vyet Og nilipata ajali ya moto mwaka jana vyet vyangu vikayeketea na moto xaxa sijui itakuwaje ila Aluta continua Mungu ndo anajua....
Wizara wanazingua sana aisee...!!Usijisumbue hata kwenda kwenye usaili,wale jamaa hawatokuruhusu uingie kwenye chumba cha usaili,nilishuhudia mtu hana kitambulisho tu wamemkatalia kabisa.jamaa alitoa machozi akifikiria ametoka sengerema huko mpaka Dodoma then wanamzingua
Nimekubalina na matokeo axeee Kweli wabongo tuna safari ndefu ya kwenda, asa mtu waminipa control namba wamenipa na venue kabisa alafu leo majanga yamenitokea sio kwamba sina vitapatikana afu wanaku discolify kama mtu sio raiya Tanzania inatia uchungu, nimepoteza nauli yangu 4 nathing zaid ya kutaliii by the way its my frst tyme kufika Dom , japo inaniuma Almost 70 imeondaka with no gud use of it inaniuma na chozi limenitoka kimoyo moyo , by the way next tyme Aluta continuaKama wewe siyo baba kantuma tafuta shughuli ya kufanya ...kazi zina wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
dahh pole aisee,Nimekubalina na matokeo axeee Kweli wabongo tuna safari ndefu ya kwenda, asa mtu waminipa control namba wamenipa na venue kabisa alafu leo majanga yamenitokea sio kwamba sina vitapatikana afu wanaku discolify kama mtu sio raiya Tanzania inatia uchungu, nimepoteza nauli yangu 4 nathing zaid ya kutaliii by the way its my frst tyme kufika Dom , japo inaniuma Almost 70 imeondaka with no gud use of it inaniuma na chozi limenitoka kimoyo moyo , by the way next tyme Aluta continua
Kwamba ndio maana wametoa mitihani migumu ili wawe na sababu za kuwachomeka watu wao?Kama wewe siyo baba kantuma tafuta shughuli ya kufanya ...kazi zina wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu muache kukatisha watu tamaa,, kama we huwezi au una Mishe zako mtaani tulia na si unaleta usengelema.. kiukweli mnaboa sana watu kama nyie.Kama wewe siyo baba kantuma tafuta shughuli ya kufanya ...kazi zina wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wanavunja watu moyo,me nimepata kazi kupitia utumishi bila kujuana na mtu yeyote.Halafu muache kukatisha watu tamaa,, kama we huwezi au au Mishe zako mtaani tulia na si unaleta usengelema.. kiukweli mnaboa sana watu kama nyie.
Mimi sipo kwenye kinyang'anyiro Cha hizi kazi Ila kwa hizo language sio poA
Kweli kabisa wanavunja watu moyo,me nimepata kazi kupitia utumishi bila kujuana na mtu yeyote
Kwan majibu tayari?Wanaoendelea na safari Mungu awabariki
Yap cheki kwenye account watu wa customsKwan majibu tayari?
Tax management, public relations, legal bado?Yap cheki kwenye account watu wa customs
Tax tayariTax management, public relations, legal bado?
Wapi yamechapishwa.Tax tayari