pole.mkuu vp.vyeti ulifanya kupitisha kwa mwanasheria kuveryfyMi nimetemwa dadeki
Nimetemwa TRA
Nimetemwa TRC
Nimetemwa TAKUKURU
Aya maisha lazima yaendeleee
Hapana mkuupole.mkuu vp.vyeti ulifanya kupitisha kwa mwanasheria kuveryfy
Kyanyangwe vipi? Umekuwa shortlisted?Thread closed.
Hizo nafasi wamekwisha peana wenye nchi yao.sisi wakulima wa jembe la mkono tugange yajayo
Kyanyangwe vipi? Umekuwa shortlisted?



naona mmerudi nyumbani UTUMISHI bada ya POSTKODI kuleta zengwe..hapo mkuu fanya kupeleka kwa mwanasheria apige mhuri then ndo ufanya uplod ya vyeti copy ulio piga mhuriHapana mkuu
Ndio mkuu,nashukuru Mungu.Kyanyangwe vipi? Umekuwa shortlisted?
Ingia kwenye account yakomajina na ratiba wamepost wapi? natafuta lakini sioni.
nimeangalia lakini kwenye view timetable haileti kitu chochote.Ingia kwenye account yako
Ipo sema kuwa na amani lazima wataweka pdfnimeangalia lakini kwenye view timetable haileti kitu chochote.
poa, ngoja nisubilie pdf.Ipo sema kuwa na amani lazima wataweka pdf
Badilisha browser.kama ulitumia opera fungulia kwa google chrome au Mozilla itafungukanimeangalia lakini kwenye view timetable haileti kitu chochote.
shukrani mkuu, nimebadili browser na nimefanikiwa kuona ratiba.Badilisha browser.kama ulitumia opera fungulia kwa google chrome au Mozilla itafunguka
Sasa kama ulifaulu written na ulikuwa kidedea kwanini usiende Oral Interview.. acha kuzingua bacIkawaje hukupita oral mkuu?
Pamoja aseeshukrani mkuu, nimebadili browser na nimefanikiwa kuona ratiba.
Mkuu ni utumishi au..?hongereni kwa mlioitwa sisi wengne tumepihwa chini kisa hatujacertify vyeti wakat inyerview zote hua tunaitwa kwa vyeti hivyo hivyo ambavyo havijawa certified
Kwahyo wametoa reason gani ya kutokuitwa kwako .?Hapana mkuu
Mkuu Ina maana wewe ni Applicant wa 3243 kwenye seriol No:🤔🤔🤔.!!!