Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Sasa si uweke ushahidi kama mimi nilivyoweka mkuu?
Hii hapa
Screenshot_20220222-164952_Opera Mini.jpg
 
Asanteeeee tatizo watu wabishi sitashangaa huu mkeka ukitoka bada ya vyuo kufungwa July

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba ni sababu ya vyuo kufungwa, hivi kweli event ya siku moja kupata venue ndio izuie ukusanyaji mapato wa nchi hapana, hapa issue itakuwa ni kwamba muajiri na mwenye dhamana ya usahili wanajipanga ili wakija kufanya zoezi lao liendane na mipango tarajiwa, so ni suala la muda tuu.
 
Yes of course u're right brother. Coz written interview inaweza kufanyika siku moja tu. Let's say jumamosi kama ambavyo hufanyika kwa interview nyingine. Ambapo mostly madarasa yanakuwa hayatumiki. So siamini kwamba mpaka likizo wakati jumamosi tu Kuna room ya kuifanya.
 
You got my point comrade
 
Waulizeni kwa Nini usahili wa mwezi wa 8 mwaka Jana uliahirishwa? Wahuni tu
 
Back
Top Bottom