Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Nadhani kuna tatizo mahali wakuu, kuna mtu nilimsaidia kuomba na nilicertify vyeti vyote kama application ilivyokua ila naona amekataliwa kwa sababu hakucertify vyeti.
 
Ulicertify mwenyewe au ulicertify kwa mwanasheria?
 
Duh.one man down.
Sababu sijacertify vyeti eti.
Mbona wakati mwingine wananiitaga nikiwa hata sijacertify?
Hawa kenge kweli
 
Mimi jamani niliapply bila certified lakini baada ya weeki 3 ni kaupload ambyo ina mhuri lkn sijashortlistiwa kwsbb imandikwa vyeti sijaiverify. Kuna hoe yyte nikienda wataweza kuniskiliza?
 
Kwahyo wamekukataa 7bu hujacertify..
H. Kuna watu ambao hawakucertify na wameitwa Interview..?
 
Hii ya certification ni uhuni. Kwa sababu vyovyote vile, serikali huwa ina hakiki vyeti. Huwezi kusema mtu acertify halafu atume kopi ndio itakuwa halali. We must shout against this.
 
Nilicertify na kuiupload ajiraportal ilikubali kuupload lakini baada ya weeki tatu ya deadline labda by that time TRA walikuwa wameshapata vyeti nloeka mwanzo ambayo sijacertify
 
Whatever the case, huwezi ku-certify uscan then hiyo nakala iwe maana yoyote. Ingekuwa kuna uwezekano wa kusubmit original certified at leat. Haya ndio yanafanya wasomi wa Kitanzania wawe wajinga.
 
Wasomi wa Tz wawe wajinga? Wakati serekali yko ndo wanavotka hvyo utowe copy ya vyeti uicertify kwaadvocate na ndo uieke ajiraportal. Sasa ujinga hpo ipo wp inawezkna nilichelewa kuskia kuhusu huu utaratibu mpya na kuvieka ya certified ila usiseme wasomi wa Tz ni wajinga niutaratibu mpya ilotelewa na ajira htuna namna zaidi kujifunza na basi kuitana wajinga for wt lbda ww ndo mjinga hujielewi unachotamka
 
hongereni kwa mlioitwa sisi wengne tumepihwa chini kisa hatujacertify vyeti wakat inyerview zote hua tunaitwa kwa vyeti hivyo hivyo ambavyo havijawa certified
Na ungecertify wangetafuta vigezo vingine vya kupunguza watu,utumishi kumejaa watendaji wa mchongo sana,hiyo sio haki kabisa,ni kutowatendea haki vijana wasomi wa kitanzania
 
Hii ya certification ni uhuni. Kwa sababu vyovyote vile, serikali huwa ina hakiki vyeti. Huwezi kusema mtu acertify halafu atume kopi ndio itakuwa halali. We must shout against this.
Kila siku wanatafuta sababu ya kuwanyima ajira watanzania
 
Na ungecertify wangetafuta vigezo vingine vya kupunguza watu,utumishi kumejaa watendaji wa mchongo sana,hiyo sio haki kabisa,ni kutowatendea haki vijana wasomi wa kitanzania
Huwezi kusema unatuma kopi ya certification ikaitwa certified. Hili waandikieni watu wa ajira. Lalamikeni hadi ofisi ya Rais Utumishi.
Email zipo. Hadi Ikulu.
 
Back
Top Bottom