Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Kumekucha asubuhi au kumekucha TRA mkuu. Mbona unatuchanganya? Be specific kidogo
Wameita tayari, pia mlioomba TPA pia wameita. Ila hapo kwa TRA nimeona ndugu zangu wengi wamekatwa sijui shida ilikuwa nini lkn pia wengi wameitwa kada moja tu.
 
Back
Top Bottom