Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

kumbe umemsogeza tu hujaoa ok mpe ujira wake
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Hayatuhusu. This is your private business. Tumechoka kusoma upuuzi
 
Sasa kama mahar hukulipa unataka upewe bure imekua msaada hii

kujikwinya mpaka nijikwinye mimi nguvu zangu kuchoka nachoka mimi magoli yangu yote unayamesa na hela nikupe
yaani kila kitu unachukua duu kweli
dunia haipo fair
 
Kama wewe kila kitu unajua kubana na yeye kapata mahali pa kukushikia ....Possibly utakua mbahili wewe na mkeo ni mama wa nyumbani nadhani. Unahisi ataishi vipi!?!? Saaafi sana
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Kwanza unamuitaje Mke labda tuanzie hapo
 
ulivyomdanganya baba yake kuwa akupoe kwa mkopo , mahari utalet taratibu . ulijua umeshinda .....? LIPA HILO DENI
 
Me natafuta mke bado lakini nadhani huyo si mkeo kwa sababu kama angekuwa mkeo kweli asingalikunyima unyumba..!!!! Mke anajua kazi ya kwanza katika ndoa ni kufanya tendo la ndoa na ndo msingi wa ndoa huo...!!! So unaweza kutafuta mwingine mwenye mapenzi mema katika ndoa. Majukumu mengine ni ya ziada kwa mwanamke katika ndoa....!!!!!!!

Ni kazi rahisi kama ana hela, ila sasa kwa sababu kakosa hata ya mahari muache aendelee kukopa kwahuyo aliye naye sasa!
 
kujikwinya mpaka nijikwinye mimi nguvu zangu kuchoka nachoka mimi magoli yangu yote unayamesa na hela nikupe
yaani kila kitu unachukua duu kweli
dunia haipo fair

Na haitakua fair kabisa hakuna bure baba angu sikuhiz
 
Back
Top Bottom