Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Anataka bei gani?
 
We utakuwa na upungufu wa akili aisee unasemaje ni mkeo wakati hata mahali hujatoa muasherati tuuu weye yakhe
 
Mtafutie stail zitakazomchanganya inawezekena humpigi kisawa sawa mpaka unadaiwa hela.
 
Mahari ulitoa gongo Si pesa hapo no mwendelezo
 
Back
Top Bottom