youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #101
Anakuwaje mkeo wakati hujamlipia mahari? kwa hiyo ina maana hujamuoa. Huyo hajawa mkeo bado ila unafanya uzinzi tu.
Kweli?
Anakuwaje mkeo wakati hujamlipia mahari? kwa hiyo ina maana hujamuoa. Huyo hajawa mkeo bado ila unafanya uzinzi tu.
kumbe kama unaona anayo kitu ya thamani kwako kwa ninihulipii mahari? Kwa kawaida kama huwezi kulipa bei ya jumla uwe tayari kulipa rejareja. Lipia ushuru kadiri unapotumia (luku). Naye amekushitukia, ameona wewe si mnunuzi wa jumla na wala hauko tayari kulipia rejareja. Anataka utambue umuhimnu wake kwako kwa kuwa keshajua amekuwa dili, ni bidhaa adimu. Hivi ngoja kwanza, .....nani anafaidika zaidi na penzi hilo kati ya wewe na yeye? Suppose unanuna ili umwonyeshe kwamba wewe nawe ni dili na unayo thamani kubwa kwake, what's gonna happen?
hadi sasa una deni kubwa kiasi gani ? (maana umesema hua unakopa kwa ahadi ya kulipa mwisho wa mwezi) kuwa wazi ili tupitishe kamchango humu ndani.
Nipe namba yake ili nilipe moja kwa moja
U$30 dollars
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
Changudoa huyo kashazoea kulipwa na inawezekana ulikurupa kuoa..
Kwani ulimchukua ambiance?
LUKU ni kifupi tu mkuu, maneno yanaweza kuwa yoyote. Mbona CCM inavyo virefu vingi tu? TANESCO hawana hati miliki na neon hilo la LUKU.lipia umeme kadri unavyotumia(luku)
Namsugua kisawasawa lkn ndo ivo tatizo liko palepale
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
keshazaa na mimi na anaishi kwangu sasa sio mke wangu.
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
Kumbe kama unaona anayo kitu ya thamani kwako kwa ninihulipii mahari? Kwa kawaida kama huwezi kulipa bei ya jumla uwe tayari kulipa rejareja. Lipia ushuru kadiri unapotumia (LUKU). Naye amekushitukia, ameona wewe si mnunuzi wa jumla na wala hauko tayari kulipia rejareja. Anataka utambue umuhimnu wake kwako kwa kuwa keshajua amekuwa dili, ni bidhaa adimu. Hivi ngoja kwanza, .....Nani anafaidika zaidi na penzi hilo kati ya wewe na yeye? Suppose unanuna ili umwonyeshe kwamba wewe nawe ni dili na unayo thamani kubwa kwake, what's gonna happen?
Dawa ya wapenda vya bure, bila hela hulambi asali yangu.