Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
Mbona hiyo nzuri ..... una lipa ila una msugua mpaka akitembea anahisi mwiba / mkuyati uko mtu kati...yeyey si anataka haki bin haki.
 
thubutu yako hiko ni Kiswahili cha wehu wapuuzi watoto wasiojielewa ndo Kiswahili chao kwa mtu mzima kama wewe ukikitumia inaonesha bado hujajielewa

U mean Me MWEHU sio?
kweli umechoka kujiheshimu.
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Kwani mahari analipwa mke au baba mkwe? Yeye mahari hayamhusu!
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Anakuwaje mkeo wakati hujamlipia mahari? kwa hiyo ina maana hujamuoa. Huyo hajawa mkeo bado ila unafanya uzinzi tu.
 
siku hizi masharoBaro nao wanaoa? hongera YoungSharo. endelea kununua mbunye ya the so called 'mkeo'
 
Back
Top Bottom