Dawa ya wapenda vya bure, bila hela hulambi asali yangu.
Anakwambia hivyo sababu wewe n youngsharo
SAsa ukamtolee mahari ndugu
kwasababu amezoea kila anapotoa mzigo analipwa
I smell lies
Muulize bei yake, short time ni sh ngap na usiku mzima ni sh ngapi.
Ila mkeo kakuon mjinga hadi kukuperekesh hivyo
:what:????????????
Kumbe kama unaona anayo kitu ya thamani kwako kwa ninihulipii mahari? Kwa kawaida kama huwezi kulipa bei ya jumla uwe tayari kulipa rejareja. Lipia ushuru kadiri unapotumia (LUKU). Naye amekushitukia, ameona wewe si mnunuzi wa jumla na wala hauko tayari kulipia rejareja. Anataka utambue umuhimnu wake kwako kwa kuwa keshajua amekuwa dili, ni bidhaa adimu. Hivi ngoja kwanza, .....Nani anafaidika zaidi na penzi hilo kati ya wewe na yeye? Suppose unanuna ili umwonyeshe kwamba wewe nawe ni dili na unayo thamani kubwa kwake, what's gonna happen?
Kashakuona wewe boya
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
hadi sasa una deni kubwa kiasi gani ? (maana umesema hua unakopa kwa ahadi ya kulipa mwisho wa mwezi) kuwa wazi ili tupitishe kamchango humu ndani.
Nipe namba yake ili nilipe moja kwa moja
I smell lies
Trust me
na wewe mbona unanilipishaga kila siku ?
nimetumia id nyingine ili ujumbe ufike kwako
nikipata njia tu utaona