Mke wangu nikiomba penzi anadai nimlipe hela

Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Atakuaje mkeo wakati hujamuoa au kumtolea mahari???!!
 
Kwani siku zote ulikuwa unamlipa,mpotezee kama vp anza kuzichapa za nje,ila usisahau kamfuko
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Anakuwaj mkeo wakt mahar hujalipa au uliowa mkopo mh yuko sahihi kbs anaona miaka inakatika lazma umpe mahar yake
 
Ukimpa uwe unamuomba na risiti kabisa maana anakuuzia
 
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.

Piga tigo ataacha
 
Inaonekana wewe nimpole sana ningekua mm ucku huohuo namfungisha manguo yake analudi kwao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom