Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako
Ukija kusema basi yameisha ndio wanatambua kuwa hawajui
 
Mkuu don't compromise your happiness na kitu chochote kile. Binafsi, mke, mali na watoto havinifanyi niishi kwa kuteseka. Kama unajiweza kiuchumi, piga chini, muache yeye akae kwenye nyumba na watoto wako. Wew kaanzishe maisha mapya na kuweka utaratibu wa kuhudumia watoto wako. Otherwise utakufa kwa stress siku si nyingi! Pole sana mkuu.
 
Dawa ya mwanamke ni MWANAMKE
Wapo wengi mkuu....tafuta mmja anaejielewa mpangie nyumba au mjengee kama unajiweza then relax
Maisha nnmafupi
 
Angalia hii movie, "The Diary of a Tired Black man" itakusaidia.
 
Poleni sana wanaume..!

Ni nini kinaendelea mbona malalamiko ya wanaume na mahusiano yao yamekuwa mengi mno MMU kuliko wanawake.!?

What's going on exactly...!??
wanawake washazoea vimbwanga vyao.

washafunga mioyo hawaoni wala kujihangaisha na vitimbi vyao

kazi kwao
 
Mathayo 5:31-32
[31]Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
It hath been said, Whosoever shall put away his wife, let him give her a writing of divorcement:
[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
But I say unto you, That whosoever shall put away his wife, saving for the cause of fornication, causeth her to commit adultery: and whosoever shall marry her that is divorced committeth adultery.

Mpaka hapo tutakuwa tumeelewana mkuu.....
 
kama alikuwa na iyo tabia kabla ya kuoa ,inabid upige chini,uvumilive sio kitu kdogo unaweza ukajiua bure na stress juu.
 
Kweli Karucee, wanawake wanaojifanya wajanja huwa hawafiki mbali baada ya muda wanajuta.
 
Huyo mkeo asili yake ni wapi?
 
Nakubaliiiiiih
 
Mbadilishie style .. mkuu kama mlikuwa mnakufa wote kifo cha mende.. badilika mpige katerelo-dogstyle, popo kanyea mbingu, tufani, kipipa,zimamoto au mbagara mwisho.. ataacha kidomo domo na atakuheshimu mkuu.. niamini
 
Asante sana Mungu akubariki... Kitu kitakacho sababisha niwe mbali na watoto wangu sitaki kukiskia kiukweli.... Huku mwanamke hapigwi.... Utawekwa jela fasta (women abuse)
Upo nchi gani kwani? Na umeoa mwanamke original wa nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…