Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Thread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

It seems you are a good and loving man.

Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.

Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.

Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.

Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.

Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?

Unadhani watakuwa watu aina gani?

Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.
Heshima kwako Dada,hapa nimepata madini,sasa atanitambua huyu kidomodomo wangu.
😎
 
Unahisi hili ndiyo suluhisho la matatizo rafiki yangu.!?

Umeoa hearly..?
Tunapoelekea hili ndio suluhisho for sure , labda nchi husika iwe katika utawala unao ongozwa na Sheria za kidini , na sio kwa mifumo hii ya kibepari waweza kuona hata Mataifa makubwa yaliyopiga hatua katika nyanja mbali mbali za kiuchumi etc jinsi mahusiano yanavyo wasumbua ,,
 
Kama anawajali watoto wako na anawatunza vizuri shida yako ni nini? Wewe hakikisha unatafuta pesa ya kutosha hayo mengine achana nayo atakuja kubadilika tu! Nadhani hapo ungefikiria namna ya kumshawishi ili kumpa mimba ya tatu tu.
 
Mimi ni muhanga wa hili ila mwishoni huwa nageuka "surprise"
Sio wewe tu hata Mimi huwa niko hivyo , Ikifika stage nikisema now it's enough ndio huwa mazima muhusika anabaki kushangaa shangaa tu umejuaje nime change ghafla
 
Thread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

It seems you are a good and loving man.

Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.

Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.

Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.

Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.

Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?

Unadhani watakuwa watu aina gani?

Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.

Ukweli ni kwamba wanawake ukiwaonesha unawapenda sana umekwisha ni lazima uwe katili kidogo
 
Pole mkuu,

Ukiona mke unaishi nae vizuri tu, kisha baadae anabadilika na kuwa na kisirani cha hivyo, ujue anakereka na kitu fulani toka kwako.

Pengine umeyumba kiuchumi kuliko ilivyokuwa huko nyuma au amepata mtu anaemkuna vizuri kuliko wewe, hivyo na mapenzi huwa yanahamia kwa mwingine. Hivyo namna nzuri ya kutatua hilo tatizo la mkeo ni wewe kubaini tatizo na kulitatua utaona huo ukali wake unapotea ghafla.

Wanawake huwa wanapenda mtu kwa hisia, na hizo hisia zinapokosekana wanakuwa hivyo.
Mzee Hadi ufanye yote hayo kwa jitu lenye meno 32 inamaana hauna mambo mengine ya kufanya alafu ndio nyie mkifika uzeeni mnatia huruma kisa eti nguvu zenu mlizielekeza kwa wanawake badala kwenye Mambo yenu kuweni Kama kipanya
 
Thread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

It seems you are a good and loving man.

Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.

Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.

Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.

Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.

Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?

Unadhani watakuwa watu aina gani?

Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.
Ushauri mzuri Sana ...ila ndio hivo jamaa yetu kashindwa mbinu na mwanamke na amebaki akijiliza liza Kama binti anaevunja ungo kwa boyfriend wake asimuache ....kiufupi huyu jamaa ni mzembe haswa anajifanya anamisimamo kumbe misimamo yake ndio opponent wake anachukilia advantage ila lenyewe halijijui ....

Mtoa mada wewe ni falaaaa.......nasema Tena wewe ni falaaaa
 
Huyu kashachoka kusikia thread za malalamiko ya hivi. Kwamba kama mwanamke anaonesha unyenyekevu wakati anataka ndoa halafu akiipata ndio anaanza timbwili basi hapo solution ni "uchumba sugu" tu. Hahahahaaaaa. Watu wana ma-idea hatari
Haha, asikudanganye mwaya mwenzio yupo kwenye Ndoa takatifu..!
 
Wala sio fala. He is a good man na mke wake atakuja kujuta sana akimpoteza.

Mapenzi yanaweza kumchanganya mtu yeyote cha kufanya ni kumtanguliza Mungu katika kila jambo praying our hearts dont fall into the wrong hands.

Back
Top Bottom