mkorofi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ulongupanjala

    Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    Habari za leo? Kuna jirani yangu hapa mtaani anafuga ng'ombe. Kawajengea banda kwenye ukuta wa fensi niliojenga mimi na anajaza kifusi cha mavi ya ng'ombe kwenye ukuta huo na kupelekea harufu kali kwa upande wangu hasa kwenye madirisha ya nyumbani. Naomba mbinu nzuri ya kumtia adabu iwe ya...
  2. R

    Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  3. Kiboko ya Jiwe

    TANESCO leo wamecheza mchezo wa kijumbe mkorofi

    Kijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani. Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua. Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake. Hii...
  4. Kyambamasimbi

    Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

    Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina...
  5. Bata batani

    Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  6. MMASSY

    Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

    Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
  7. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief. Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila...
  8. Jeneralis

    Mke wangu ni mkorofi hatari

    Habari wana JF. Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi...
Back
Top Bottom