Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

ibby

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
415
584
Habar za saa hizi jameni...

Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.

Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatua ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.

Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.

Watoto wana: mmoja Ana 4years. Mwingine 2... Asante!+ na Mungu awabariki

1643024248533.png

=======
Soma zaidi:Mke wangu ni mkorofi hatari
 
Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka mi6 ilopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyew anaulimi mkali saana... She don't have respect in brief
.. Nimejaribu kumnasihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatuwa ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.... Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.... Watoto wana: mmoja Ana 4years... Mwingine 2... Asante!+ni Mungu awabariki
Ukifa hao watoto nani atawatunza mfukuze huyo mwanamke au ondoka

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu,

Ukiona mke unaishi nae vizuri tu, kisha baadae anabadilika na kuwa na kisirani cha hivyo, ujue anakereka na kitu fulani toka kwako.

Pengine umeyumba kiuchumi kuliko ilivyokuwa huko nyuma au amepata mtu anaemkuna vizuri kuliko wewe, hivyo na mapenzi huwa yanahamia kwa mwingine. Hivyo namna nzuri ya kutatua hilo tatizo la mkeo ni wewe kubaini tatizo na kulitatua utaona huo ukali wake unapotea ghafla.

Wanawake huwa wanapenda mtu kwa hisia, na hizo hisia zinapokosekana wanakuwa hivyo.
 
Jipe miaka miwili watoto wakue ubaki nao ww

Nilikuwa nataka nikushaur upige huyo mtu ila cjui maisha yenu yakoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk kusubili miaka 2 wakue atazaliwa meingine , chukua maamuzi sasa haijalishi kama umechelewa au umewai,maamuzi yako yakiwa sahihi ni bora lkn kama maamuzi yako yatakuwa sio sahihi itakuwa sehemu ya kujifunza, kutochukua maamuzi ni kufanya uishi kama mfu angali yu hai,
 
Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka mi6 ilopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyew anaulimi mkali saana... She don't have respect in brief
.. Nimejaribu kumnasihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatuwa ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.... Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.... Watoto wana: mmoja Ana 4years... Mwingine 2... Asante!+ni Mungu awabariki
Yani mambo ya mapenzi, maisha ya ndoa yanahitaji mtu awe na roho ngumu sana....Pole jikaze watoto wakue kidg.....muda huo tafuta mchepuko Safi.........ukiamka fanya mambo yako nenda kazini......akigoma kufua chukua nguo peleka dry cleaners... weekend nenda kwa mchepuko....... yani fanya kama unaish ndani na watoto tu yeye hayupo......usiangalie Fulani atakuonaje....angalia tu wanao watasomaje wataish vip miaka miwili mitatu ijayo!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Umesema anawachukia siblings wako wote - jee mnaishi nao?
Wapo africa misipo Africa ... Mi kitambo sipo Africa nadhani hi ndo changamoto kubwa sana inasabisha mana a naona Sina pakuchomokea.... Mana huku loss dogo umenyanganywa kila kitu aisee!!! Hata watoto unaweza kupigwa ban nao..... Niki plan nimuachie watoto naona wata sumbuka saana.... Nilimwambia turudi nyumbani hataki... Yeye yende hataki.... Ni mtihani kiukweli....
 
Kata tiketi ya Ndege kwa siri kisha siku moja fanya kama unatoka na watoto wako kutembea,halafu hapo iwe ni safari ya kuelekea Airport moja kwa moja.
 
Nl
Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka mi6 ilopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyew anaulimi mkali saana... She don't have respect in brief
.. Nimejaribu kumnasihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatuwa ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.... Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.... Watoto wana: mmoja Ana 4years... Mwingine 2... Asante!+ni Mungu awabariki
Ukikosea msingi bomoa tu,shida ilianza ulipojipa moyo kua msingi utanyooka. Ile kauli ya bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa ndio inatimia kwako
 
Poleni sana wanaume..!

Ni nini kinaendelea mbona malalamiko ya wanaume na mahusiano yao yamekuwa mengi mno MMU kuliko wanawake.!?

What's going on exactly...!??
Financial freedom kwa baadhi ya wanawake imekuwa mwiba mkali sana kwa wanaume...

Una mke anatengeneza 2m kwa mwezi, wewe unatengeneza 800k kuna mambo mawili hapo; either inferiority complex itakumaliza, or else mke asione kama hela ina thamani zaidi ya mahusiano na ndoa yake.
 
Back
Top Bottom