Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako
Ukija kusema basi yameisha ndio wanatambua kuwa hawajui
 
Mkuu don't compromise your happiness na kitu chochote kile. Binafsi, mke, mali na watoto havinifanyi niishi kwa kuteseka. Kama unajiweza kiuchumi, piga chini, muache yeye akae kwenye nyumba na watoto wako. Wew kaanzishe maisha mapya na kuweka utaratibu wa kuhudumia watoto wako. Otherwise utakufa kwa stress siku si nyingi! Pole sana mkuu.
 
Dawa ya mwanamke ni MWANAMKE
Wapo wengi mkuu....tafuta mmja anaejielewa mpangie nyumba au mjengee kama unajiweza then relax
Maisha nnmafupi
 
Habar za saa hizi jameni...

Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief.

Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila nawahurumia watoto wangu 2 they might suffer... Ila nimefikia hatua ya ku surrender kiukweli... Ila nahofia watoto nilimuomba watoto waende kwa bi mkubwa alikataa.

Hayupo supportive kwa kila ninacho fanya.. She hates all my siblings kiukweli nimechoka ila nikiona watoto walelewe bila baba Yao huna Ina ni stress sana nimewekeza mapenzi yangu kwa watoto.

Watoto wana: mmoja Ana 4years. Mwingine 2... Asante!+ na Mungu awabariki



=======
Soma zaidi:Mke wangu ni mkorofi hatari
Angalia hii movie, "The Diary of a Tired Black man" itakusaidia.
 
Poleni sana wanaume..!

Ni nini kinaendelea mbona malalamiko ya wanaume na mahusiano yao yamekuwa mengi mno MMU kuliko wanawake.!?

What's going on exactly...!??
wanawake washazoea vimbwanga vyao.

washafunga mioyo hawaoni wala kujihangaisha na vitimbi vyao

kazi kwao
 
Mathayo 5:31-32
[31]Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
It hath been said, Whosoever shall put away his wife, let him give her a writing of divorcement:
[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
But I say unto you, That whosoever shall put away his wife, saving for the cause of fornication, causeth her to commit adultery: and whosoever shall marry her that is divorced committeth adultery.

Mpaka hapo tutakuwa tumeelewana mkuu.....
 
kama alikuwa na iyo tabia kabla ya kuoa ,inabid upige chini,uvumilive sio kitu kdogo unaweza ukajiua bure na stress juu.
 
Thread 'Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo' Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

It seems you are a good and loving man.

Kosa lako lilikuwa kumuonyesha huyo mwanamke kwamba unampenda sana. Atakuwa ameshakutikisa mara nyingi sana kukupima mapenzi yako na mara zote alijiridhisha hufurukuti kwake.

Cha kufanya mpe adabu kali sana ya kiume.

Si anataka kuondoka, muache aondoke. Si anataka kuondoka na watoto? Muache aondoke nao. The minute she sets foot then usipokee simu wala kujibu message zake.Cheza na timing ya kazini kama umeajiriwa. Chukua likizo ondoka kwenye nyumba yenu and if possible hama.

Atakuonyesha drama hujawahi kuona, atatafuta watu atumie simu zao kuongea nao, ataenda kwa wakwe atatafuta viongozi wa dini we kausha wewe just be patient na ujikaze. It is what it shall take to save your family.

Wewe ni mwanamme bana. Watoto wanakua hao. Wanaona unavyonyanyasika kisa mama yao. Unadhani watakuonaje?

Unadhani watakuwa watu aina gani?

Atarudi tu na atarudi na adabu zote na mdomo utatokomea kabisa.
Kweli Karucee, wanawake wanaojifanya wajanja huwa hawafiki mbali baada ya muda wanajuta.
 
Wapo africa misipo Africa ... Mi kitambo sipo Africa nadhani hi ndo changamoto kubwa sana inasabisha mana a naona Sina pakuchomokea.... Mana huku loss dogo umenyanganywa kila kitu aisee!!! Hata watoto unaweza kupigwa ban nao..... Niki plan nimuachie watoto naona wata sumbuka saana.... Nilimwambia turudi nyumbani hataki... Yeye yende hataki.... Ni mtihani kiukweli....
Huyo mkeo asili yake ni wapi?
 
tumeshachelewa , Maendeleo pia Yana faiada na hasara zake , imagine hapo ndio watu tumepitia ktk mafundisho ya kiimani ambayo yapo kwaajiki ya kuwaandaa watu kuwa watiiifu na wanyenyekevu lakini balaa lke ndio Kama Hilo unalo liona ndoa zimekua Jela ,,

I think it's better watu waache haya mam o ya kuoana oana Ndio amani itakuepo tuwe tuna zalishana tu then kila mtu aishi kivyake. No stress at all
Nakubaliiiiiih
 
Mbadilishie style .. mkuu kama mlikuwa mnakufa wote kifo cha mende.. badilika mpige katerelo-dogstyle, popo kanyea mbingu, tufani, kipipa,zimamoto au mbagara mwisho.. ataacha kidomo domo na atakuheshimu mkuu.. niamini
 
Asante sana Mungu akubariki... Kitu kitakacho sababisha niwe mbali na watoto wangu sitaki kukiskia kiukweli.... Huku mwanamke hapigwi.... Utawekwa jela fasta (women abuse)
Upo nchi gani kwani? Na umeoa mwanamke original wa nchi gani?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom