Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

hilo ni wazi mno
mkeo 'hakupendi wala hajawahi kukuipenda'

wazanzibari nawajua
wanachukulia 'kuolewa' kama 'baraka' ambayo haikataliwi

so mtu anajilazimisha kuolewa hata kama hayuko 'in love' na mwenzie

so wa kwako 'kaolewa' na wewe kama 'sheria' tu
kiukweli hajawahi kukupenda kabisa

majini mahaba visingizio tu

Naanza kukubaliana nawe mkuu, thanks sana kwa maoni yako
 
Mkuu nafuatilia sana ushauri wenu ingawa sikupenda kuongeza mke kwa sasa, maisha ya wake wengi utata ndugu yangu

pole sana ndugu yangu, kiukweli umejitahidi kuonesha kila dalili ya upendo kama mwanaume kwa mkeo lakin mkeo ndo hvo tena gumegume. Fanya maamuzi magumu tu maana huna jinsi japo waislam tunashauriwa juu yakuwa na SUBRA...
 
Muambie hamna tatizo manake wewe ndo unaempenda. Muambie umepata mwanamke anaeonyesha dalili za kukupenda, unataka baraka zake uoe. Kwa sababu unampenda sna na hutaki kumsumbua yeye na jini mahaba, wakae kwa raha zao.

Ila pitia uzi wa Dark City wa sifa za mwanaume kamili.
Yaani wewe mkeo anaenda kwa mganga wa kienyeji, na majibu ya sijui tuite matibabu anakuambia kayafuate kwa dada yake; na wewe unaenda kweli?
Halafu suala la kunyimwa unyumba unabembelezewa hadi na mama mkwe na ndugu zake? Uliwalalamikia ama walikuona unapita ukilia kwa njaa ya unyumba? Akhuuu!
Unahitaji kushughulikia uanaume wako kwanza, inawezekana hakupi unyumba manake haumpi raha. Inapaswa akikuwaza tu udenda umshike. Dark City, njoo uendeleze jando kama umeshahesabiwa!
 
Wakuu
Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m1.. alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo za vitafunwa!
Tatizo lake kubwa ni kuwa hapendi kukosolewa anapokosea, na neno sorry kwake ni kama amejidhalilisha.
Kuna kipindi aliacha kazi alikoajiriwa akidai wakorofi, nilimfungulia biashara ya internet cafe, ilinicost zaid ya 13million! Yeye ndo alikuwa msimamizi lakini haikupita mwezi akawa hasimamii na wakati mwngine hafiki kabisa net, nilipomuuliza ndo ikawa mwisho kujihusisha nayo akisema nataka kumnyanyasa kwa ako kanet tu, alisusa na kuniambia hatajihusisha na mali yangu yoyote hata baada ya kumbembeleza!
Kuna pesa pia nilimkopesha kaka yake kipindi cha maandalizi ya ndoa yetu, alipopewa anirudishie alizitumia bila kuniarifu. Nilipomuuliza akasema najifanya kidume nataka kumcontrol kila kitu, yy hatakubali. Nilitamani kusimamisha ndoa! Hata hivyo nilijipa moyo huenda atajirekebisha.
Baada ya ndoa, aliendelea kuwa mama wa nyumbani na baada ya mwezi alishika ujauzito! Vituko vilizid na kama kawaida hakutaka kuambiwa kakosea, nilichukulia ni hali ya ujauzito, niliignore!
Bahat ofsini niliteuliwa kozi fupi ya miezi 6 nje ya nchi, alirud kwao Zenj. Niliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa so niliamua kumuacha kwao had alipojifungua.
Baada ya miez miwili nilimfuata.
Lakini nilikuja kuanza kushangaa alipokuwa hataki kushiri nami tendo la ndoa kwa madai kachoka. Ikapita miezi miwili mingine hivohivo! Nilivumilia. Sasa ni zaid ya miez 6 hataki ingawa amekuwa akishauriwa sana na mamaake na ndugu zake wengine!
Nikizungumza nae hudai hana tatizo lolote kibaya zaid anakasirika ukiendelea kumdadisi na ananuna!
Kuna siku baada ya kumbana sana na kumtishia kumrudisha kwao alinambia niongee na dadaake kama nataka kujua kinachomsibu.
Dadaake alinambia kuwa alipokuwa Zenj aliwahi kumwambia kuwa anaponiona tu anahisi hasira na ananichukia tu bila sababu,pia et walienda kwa mganga wa kienyeji ikaonekana ana jini mahaba na hata yeye dada mtu analo ingawa ye mumewe hamnyimi anajitahid kupambana nalo na amekuwa akimshauri mdogo wake bila mafanikio.
Imefikia hatua napachukia nyumbani na hata mtoto sina raha naye coz wakat mungine akiniona nacheza nae huja kumchukua.
Najitahid kumletea vijizawad, lakini ni kawaida kukuta ulichomletea hapohapo hata cku mbili hajakigusa, neno asante kwake hakuna mpaka najistukia may b hapend vitu nnavomletea.
Zaid hapend kabisa kuzungumzia maswala yetu, nimemshauri sana aongee bila mafanikio.
Haonekani kujirekebisha na amewahi kudai talaka nilipomtishia kumpiga siku 1 akidai hajawahi hata kupigwa kibao kwao, kama nimemchoka nimwache!

Wakuu,
nafikiria nimuache lakini namfikiria pia mtoto atapata taabu kwa kukosa malezi ya baba na mama.
Mapenzi yangu kwake yamepungua kwa kweli coz hakuna ule ukaribu wa mume na mke!
NAOMBENI MSAADA WAKUU

Pole sana, penye miti hakuna wajenzi. Follow your Heart.
 
Mkuu nayachukua uliyoniambia. Sijawahi kuhisi kama ana bwana nje kwa kuwa mazingira tunayoishi yako tight kidogo na mara nyingi yuko nyumbani na ndugu na jamaa licha ya kuwa nna uwezo wa kuaccess hata simu yake bila ya yeye kujua na sijakuta hata sms yake or call yenye shaka. Hapo ndipo nnapozidi kuchanganyikiwa mkuu
Hohohohoho! braza, NOT EVEN GOD IS RIPE ENOUGH TO CATCH A WOMAN IN LOVE!!!!!!!!
 
Mkuu nayachukua uliyoniambia. Sijawahi kuhisi kama ana bwana nje kwa kuwa mazingira tunayoishi yako tight kidogo na mara nyingi yuko nyumbani na ndugu na jamaa licha ya kuwa nna uwezo wa kuaccess hata simu yake bila ya yeye kujua na sijakuta hata sms yake or call yenye shaka. Hapo ndipo nnapozidi kuchanganyikiwa mkuu

Wanaowaamin wake zao kupita kias, na wake zao nao wakatambua kuwa wanaaminiwa ndo huibiwa, na kumbuka sio lazima mwizi wako awe karibu hapo, anaweza akawa Zanzibar au penginepo mbali, wanasubir ubwage manyanga wawe huru. Lakin sawa kama umeshafanya uchunguzi kwa hilo na umejilidhisha kuwa hachukuliwi nje, bas jibu ni moja tu HAKUPENDI NA HAKUTAKI. Maneno yangu makali lakin yavumilie na uyafanyie kazi ukipenda. Pole sana.
 
Wakuu
Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m1.. alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo za vitafunwa!
Tatizo lake kubwa ni kuwa hapendi kukosolewa anapokosea, na neno sorry kwake ni kama amejidhalilisha.
Kuna kipindi aliacha kazi alikoajiriwa akidai wakorofi, nilimfungulia biashara ya internet cafe, ilinicost zaid ya 13million! Yeye ndo alikuwa msimamizi lakini haikupita mwezi akawa hasimamii na wakati mwngine hafiki kabisa net, nilipomuuliza ndo ikawa mwisho kujihusisha nayo akisema nataka kumnyanyasa kwa ako kanet tu, alisusa na kuniambia hatajihusisha na mali yangu yoyote hata baada ya kumbembeleza!
Kuna pesa pia nilimkopesha kaka yake kipindi cha maandalizi ya ndoa yetu, alipopewa anirudishie alizitumia bila kuniarifu. Nilipomuuliza akasema najifanya kidume nataka kumcontrol kila kitu, yy hatakubali. Nilitamani kusimamisha ndoa! Hata hivyo nilijipa moyo huenda atajirekebisha.
Baada ya ndoa, aliendelea kuwa mama wa nyumbani na baada ya mwezi alishika ujauzito! Vituko vilizid na kama kawaida hakutaka kuambiwa kakosea, nilichukulia ni hali ya ujauzito, niliignore!
Bahat ofsini niliteuliwa kozi fupi ya miezi 6 nje ya nchi, alirud kwao Zenj. Niliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa so niliamua kumuacha kwao had alipojifungua.
Baada ya miez miwili nilimfuata.
Lakini nilikuja kuanza kushangaa alipokuwa hataki kushiri nami tendo la ndoa kwa madai kachoka. Ikapita miezi miwili mingine hivohivo! Nilivumilia. Sasa ni zaid ya miez 6 hataki ingawa amekuwa akishauriwa sana na mamaake na ndugu zake wengine!
Nikizungumza nae hudai hana tatizo lolote kibaya zaid anakasirika ukiendelea kumdadisi na ananuna!
Kuna siku baada ya kumbana sana na kumtishia kumrudisha kwao alinambia niongee na dadaake kama nataka kujua kinachomsibu.
Dadaake alinambia kuwa alipokuwa Zenj aliwahi kumwambia kuwa anaponiona tu anahisi hasira na ananichukia tu bila sababu,pia et walienda kwa mganga wa kienyeji ikaonekana ana jini mahaba na hata yeye dada mtu analo ingawa ye mumewe hamnyimi anajitahid kupambana nalo na amekuwa akimshauri mdogo wake bila mafanikio.
Imefikia hatua napachukia nyumbani na hata mtoto sina raha naye coz wakat mungine akiniona nacheza nae huja kumchukua.
Najitahid kumletea vijizawad, lakini ni kawaida kukuta ulichomletea hapohapo hata cku mbili hajakigusa, neno asante kwake hakuna mpaka najistukia may b hapend vitu nnavomletea.
Zaid hapend kabisa kuzungumzia maswala yetu, nimemshauri sana aongee bila mafanikio.
Haonekani kujirekebisha na amewahi kudai talaka nilipomtishia kumpiga siku 1 akidai hajawahi hata kupigwa kibao kwao, kama nimemchoka nimwache!

Wakuu,
nafikiria nimuache lakini namfikiria pia mtoto atapata taabu kwa kukosa malezi ya baba na mama.
Mapenzi yangu kwake yamepungua kwa kweli coz hakuna ule ukaribu wa mume na mke!
NAOMBENI MSAADA WAKUU

Women have something in common, sijajua ni nini! Ila hiyo kauli (maandhishi mekundu kwenye quote) nami niliisikia na hadi leo mambo si mambo ndani ya ndoa. Yaani ndoa is as good as a broken one ......!! Kwa baadhi ya ndoa nahisi talaka ni lazima hata mwanaume ung'ang'anie vipi!
 
Gasshh! usipopendwa tabu, na UKIPENDWA nayo ishakua tabu? mambo yanaenda vise-versa tu kwenye hii dunia, nachoka mie!
 
hilo ni wazi mno
mkeo 'hakupendi wala hajawahi kukuipenda'

wazanzibari nawajua
wanachukulia 'kuolewa' kama 'baraka' ambayo haikataliwi

so mtu anajilazimisha kuolewa hata kama hayuko 'in love' na mwenzie

so wa kwako 'kaolewa' na wewe kama 'sheria' tu
kiukweli hajawahi kukupenda kabisa

majini mahaba visingizio tu
Hapo Mkuu umenena uyo ajapendwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom