Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

Wakuu
Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m1.. alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo za vitafunwa!
Tatizo lake kubwa ni kuwa hapendi kukosolewa anapokosea, na neno sorry kwake ni kama amejidhalilisha.
Kuna kipindi aliacha kazi alikoajiriwa akidai wakorofi, nilimfungulia biashara ya internet cafe, ilinicost zaid ya 13million! Yeye ndo alikuwa msimamizi lakini haikupita mwezi akawa hasimamii na wakati mwngine hafiki kabisa net, nilipomuuliza ndo ikawa mwisho kujihusisha nayo akisema nataka kumnyanyasa kwa ako kanet tu, alisusa na kuniambia hatajihusisha na mali yangu yoyote hata baada ya kumbembeleza!
Kuna pesa pia nilimkopesha kaka yake kipindi cha maandalizi ya ndoa yetu, alipopewa anirudishie alizitumia bila kuniarifu. Nilipomuuliza akasema najifanya kidume nataka kumcontrol kila kitu, yy hatakubali. Nilitamani kusimamisha ndoa! Hata hivyo nilijipa moyo huenda atajirekebisha.
Baada ya ndoa, aliendelea kuwa mama wa nyumbani na baada ya mwezi alishika ujauzito! Vituko vilizid na kama kawaida hakutaka kuambiwa kakosea, nilichukulia ni hali ya ujauzito, niliignore!
Bahat ofsini niliteuliwa kozi fupi ya miezi 6 nje ya nchi, alirud kwao Zenj. Niliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa so niliamua kumuacha kwao had alipojifungua.
Baada ya miez miwili nilimfuata.
Lakini nilikuja kuanza kushangaa alipokuwa hataki kushiri nami tendo la ndoa kwa madai kachoka. Ikapita miezi miwili mingine hivohivo! Nilivumilia. Sasa ni zaid ya miez 6 hataki ingawa amekuwa akishauriwa sana na mamaake na ndugu zake wengine!
Nikizungumza nae hudai hana tatizo lolote kibaya zaid anakasirika ukiendelea kumdadisi na ananuna!
Kuna siku baada ya kumbana sana na kumtishia kumrudisha kwao alinambia niongee na dadaake kama nataka kujua kinachomsibu.
Dadaake alinambia kuwa alipokuwa Zenj aliwahi kumwambia kuwa anaponiona tu anahisi hasira na ananichukia tu bila sababu,pia et walienda kwa mganga wa kienyeji ikaonekana ana jini mahaba na hata yeye dada mtu analo ingawa ye mumewe hamnyimi anajitahid kupambana nalo na amekuwa akimshauri mdogo wake bila mafanikio.
Imefikia hatua napachukia nyumbani na hata mtoto sina raha naye coz wakat mungine akiniona nacheza nae huja kumchukua.
Najitahid kumletea vijizawad, lakini ni kawaida kukuta ulichomletea hapohapo hata cku mbili hajakigusa, neno asante kwake hakuna mpaka najistukia may b hapend vitu nnavomletea.
Zaid hapend kabisa kuzungumzia maswala yetu, nimemshauri sana aongee bila mafanikio.
Haonekani kujirekebisha na amewahi kudai talaka nilipomtishia kumpiga siku 1 akidai hajawahi hata kupigwa kibao kwao, kama nimemchoka nimwache!

Wakuu,
nafikiria nimuache lakini namfikiria pia mtoto atapata taabu kwa kukosa malezi ya baba na mama.
Mapenzi yangu kwake yamepungua kwa kweli coz hakuna ule ukaribu wa mume na mke!
NAOMBENI MSAADA WAKUU
Watoto wangapi wamekua bila malezi ya mama buana,si mama yako(bibi wa mtoto) si yupo?,mchukue mtoto mrudishe kwao,unajipa kazi ya kumpenda ambaye hakupendi,UNAWEZA MKOKOTA NGOMBE MPAKA MTONI NA HUWEZI MLAZIMISHA KUNYWA MAJI,
 
hii defense ya virgin hii, inawacost wengi sana.

Nlishasema kwani bikra ndio nini ? mwanamke bikra mwache akatombwe kwanza atakusumbua, tabu zote anazopata jamaa na wanawake wote hawa ? kuzaa na mtu mtoto sio dhambi eti mkiachana hatapata mapenz ya baba na mama wakati mama miyeyusho, piga chini mbwa hiyo anza upya...
 
Wakuu
Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m1.. alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo za vitafunwa!
Tatizo lake kubwa ni kuwa hapendi kukosolewa anapokosea, na neno sorry kwake ni kama amejidhalilisha.
Kuna kipindi aliacha kazi alikoajiriwa akidai wakorofi, nilimfungulia biashara ya internet cafe, ilinicost zaid ya 13million! Yeye ndo alikuwa msimamizi lakini haikupita mwezi akawa hasimamii na wakati mwngine hafiki kabisa net, nilipomuuliza ndo ikawa mwisho kujihusisha nayo akisema nataka kumnyanyasa kwa ako kanet tu, alisusa na kuniambia hatajihusisha na mali yangu yoyote hata baada ya kumbembeleza!
Kuna pesa pia nilimkopesha kaka yake kipindi cha maandalizi ya ndoa yetu, alipopewa anirudishie alizitumia bila kuniarifu. Nilipomuuliza akasema najifanya kidume nataka kumcontrol kila kitu, yy hatakubali. Nilitamani kusimamisha ndoa! Hata hivyo nilijipa moyo huenda atajirekebisha.
Baada ya ndoa, aliendelea kuwa mama wa nyumbani na baada ya mwezi alishika ujauzito! Vituko vilizid na kama kawaida hakutaka kuambiwa kakosea, nilichukulia ni hali ya ujauzito, niliignore!
Bahat ofsini niliteuliwa kozi fupi ya miezi 6 nje ya nchi, alirud kwao Zenj. Niliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa so niliamua kumuacha kwao had alipojifungua.
Baada ya miez miwili nilimfuata.
Lakini nilikuja kuanza kushangaa alipokuwa hataki kushiri nami tendo la ndoa kwa madai kachoka. Ikapita miezi miwili mingine hivohivo! Nilivumilia. Sasa ni zaid ya miez 6 hataki ingawa amekuwa akishauriwa sana na mamaake na ndugu zake wengine!
Nikizungumza nae hudai hana tatizo lolote kibaya zaid anakasirika ukiendelea kumdadisi na ananuna!
Kuna siku baada ya kumbana sana na kumtishia kumrudisha kwao alinambia niongee na dadaake kama nataka kujua kinachomsibu.
Dadaake alinambia kuwa alipokuwa Zenj aliwahi kumwambia kuwa anaponiona tu anahisi hasira na ananichukia tu bila sababu,pia et walienda kwa mganga wa kienyeji ikaonekana ana jini mahaba na hata yeye dada mtu analo ingawa ye mumewe hamnyimi anajitahid kupambana nalo na amekuwa akimshauri mdogo wake bila mafanikio.
Imefikia hatua napachukia nyumbani na hata mtoto sina raha naye coz wakat mungine akiniona nacheza nae huja kumchukua.
Najitahid kumletea vijizawad, lakini ni kawaida kukuta ulichomletea hapohapo hata cku mbili hajakigusa, neno asante kwake hakuna mpaka najistukia may b hapend vitu nnavomletea.
Zaid hapend kabisa kuzungumzia maswala yetu, nimemshauri sana aongee bila mafanikio.
Haonekani kujirekebisha na amewahi kudai talaka nilipomtishia kumpiga siku 1 akidai hajawahi hata kupigwa kibao kwao, kama nimemchoka nimwache!

Wakuu,
nafikiria nimuache lakini namfikiria pia mtoto atapata taabu kwa kukosa malezi ya baba na mama.
Mapenzi yangu kwake yamepungua kwa kweli coz hakuna ule ukaribu wa mume na mke!
NAOMBENI MSAADA WAKUU
Watoto wangapi wamekua bila malezi ya mama buana,si mama yako(bibi wa mtoto) si yupo?,mchukue mtoto mrudishe kwao,unajipa kazi ya kumpenda ambaye hakupendi,UNAWEZA MKOKOTA NGOMBE MPAKA MTONI NA HUWEZI MLAZIMISHA KUNYWA MAJI.yaani ukose raha uko kwako?,hela uitafute kwa shida,badala ya kupata furaha nyumbani unakuta kero
 
Uwezi kukaa na Mwanamke wa namna hii kwenye ndoa miaka yote achana naye utakavyozidi kukaa naye na mateso yatazidi, Mtoto utampelekea matunzo huko kwao
 
Piga chini hakuna mke hapo. Kuna mademu walizaliwa ili watombwe na wanaume tofauti tofauti hadi uzeeni na wasiolewe....
 
Ndoa ni tendo la ndoa mengine yanafuata...nachelea kusema kama hulambi uroda for 6 consecutive months kwa kwel huna tofauti na a 6yrs kid....mkuu fanya maamuz magumu either kuoa another wife au kutafuta michepuko bt kuoa 'nother wife ndio sawa
 
Wakuu,

Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m, alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao kawaida, baba ni mstaafu wa jeshi na mama ni mama wa nymbani, anjishughulisha na biashara ndogondogo za vitafunwa!

Tatizo lake kubwa ni kuwa hapendi kukosolewa anapokosea, na neno sorry kwake ni kama amejidhalilisha.

Kuna kipindi aliacha kazi alikoajiriwa akidai wakorofi, nilimfungulia biashara ya internet cafe, ilinicost zaid ya 13million! Yeye ndo alikuwa msimamizi lakini haikupita mwezi akawa hasimamii na wakati mwngine hafiki kabisa net nilipomuuliza ndo ikawa mwisho kujihusisha nayo akisema nataka kumnyanyasa kwa ako kanet tu, alisusa na kuniambia hatajihusisha na mali yangu yoyote hata baada ya kumbembeleza!

Kuna pesa pia nilimkopesha kaka yake kipindi cha maandalizi ya ndoa yetu, alipopewa anirudishie alizitumia bila kuniarifu. Nilipomuuliza akasema najifanya kidume nataka kumcontrol kila kitu, yy hatakubali. Nilitamani kusimamisha ndoa! Hata hivyo nilijipa moyo huenda atajirekebisha.

Baada ya ndoa, aliendelea kuwa mama wa nyumbani na baada ya mwezi alishika ujauzito! Vituko vilizid na kama kawaida hakutaka kuambiwa kakosea, nilichukulia ni hali ya ujauzito, niliignore!

Bahat ofsini niliteuliwa kozi fupi ya miezi 6 nje ya nchi, alirud kwao Zenj. Niliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa so niliamua kumuacha kwao had alipojifungua.

Baada ya miez miwili nilimfuata.

Lakini nilikuja kuanza kushangaa alipokuwa hataki kushiri nami tendo la ndoa kwa madai kachoka. Ikapita miezi miwili mingine hivohivo! Nilivumilia. Sasa ni zaid ya miez 6 hataki ingawa amekuwa akishauriwa sana na mamaake na ndugu zake wengine!

Nikizungumza nae hudai hana tatizo lolote kibaya zaid anakasirika ukiendelea kumdadisi na ananuna!
Kuna siku baada ya kumbana sana na kumtishia kumrudisha kwao alinambia niongee na dadaake kama nataka kujua kinachomsibu.

Dadaake alinambia kuwa alipokuwa Zenj aliwahi kumwambia kuwa anaponiona tu anahisi hasira na ananichukia tu bila sababu,pia et walienda kwa mganga wa kienyeji ikaonekana ana jini mahaba na hata yeye dada mtu analo ingawa ye mumewe hamnyimi anajitahid kupambana nalo na amekuwa akimshauri mdogo wake bila mafanikio.

Imefikia hatua napachukia nyumbani na hata mtoto sina raha naye coz wakat mungine akiniona nacheza nae huja kumchukua.

Najitahid kumletea vijizawad, lakini ni kawaida kukuta ulichomletea hapohapo hata cku mbili hajakigusa, neno asante kwake hakuna mpaka najistukia may b hapend vitu nnavomletea.

Zaid hapend kabisa kuzungumzia maswala yetu, nimemshauri sana aongee bila mafanikio.

Haonekani kujirekebisha na amewahi kudai talaka nilipomtishia kumpiga siku 1 akidai hajawahi hata kupigwa kibao kwao, kama nimemchoka nimwache!

Wakuu,
Nafikiria nimuache lakini namfikiria pia mtoto atapata taabu kwa kukosa malezi ya baba na mama. Mapenzi yangu kwake yamepungua kwa kweli coz hakuna ule ukaribu wa mume na mke!

NAOMBENI MSAADA WAKUU
Mkuu kwanza pole sana,,,kwanza una bahati sana kuoa mwanamke wa visiwani ,,pengine ulikuwa na uwezo kifedha,,,lakini mwanamke wa huko kuolewa na mbara ni shida sna,,utaundiwa zengwe hadi ushindwe,,,na ajabu ni kwamba wanakuwa wasumbufu wa kujifanya wanataka maisha ya juu na kifahari ,,maisha ya kukusumbuwa mwanaume wa bara,,lakini pale wanapoolewa na wakiolewa na wazanzibar wenzao wanashindia mihogo ya Nazi na papa,,na hawana usumbufu sana kwa wavisiwani wenzao ,,,,sijuwi kwann wamekuwa hivyo,,...Mimi nimewafatilia sana,,na nimeshawasikia wanaume wa huko wakionya kwamba usije ukaoa mzanzibar,,, ni wasumbufu sana mkuu..hivyo visa vyote unavyofanyiwa sababu hutakiwi..,,,asali ya ndoa ni tendo la ndoa,,sasa kama hupewi kuna tofauti gani na kutokuwa na mke? Dini yetu hairuhusu kukushauri utoe talaka,,na kama huwezi kumwacha sababu unafikiria mwanao,, tafuta mke mwingine ila elewa huwezi kubaki salama. ,,kwani hao watu kwa nguvu za giza hatuwawezi ,,, kuwa na maamuzi ya kiume,,,,,huyo mwanamke hana mapenzi na wewe,,na ana asili ya ubaguzi,, na pengine hata akifika kwao bado wanaume wa zanzibar wanamsimanga kwa kumwambiya umetuacha sisi huku umekwenda kuolewa na machogo? hicho ndy kinachomsumbuwa,,,hana hisia na wewe mkuu,,usilazimishe mapenzi ni hatari kwa afya yako Mkuu... Ukweli mchungu..halafu ulisema ulioa bikira,,isije ikawa umekuta bikira moja kumbe ile bikira nyingine alishavunjwa siku nyingi mkuu,,wengi hulinda bikira ya mbele kulinda ndoa,,na ile ya mlango wa nyuma watu hupita huko huko bila kizuizi,,,hiyo ni proved 99% ...Fanya uchunguzi mkuu,,,utagunduwa..
 
Mkuu huyo mke achana nae hakupendi,ndoa sio uhai kesema ukiacha utakufa bora uache sasa kuliko kujakipata shida huko mbeleni
 
Hiyo hali ya jini mahaba aktika vita vya kiroho huitwa spiritual husband kwa maana limemwoa na linakuona kama unaliingilia. Dalili zake ni mwanamke si kukosa tu hamu bali humchukia mumewe au mkewe bila sababu.

Dawa yake ni kufanyiwa deliverance kwa njia ya maombi na si kwenda kwa waganga. Ukiangalia Emanueli TV live, Jumapili, jumatu na Alhamisi saa 8 hadi 4 usiku utaelewa ninachokisema. Haya maroho yanawaingia watu wengi mno.
Hamna shortcut hapo ni kwenda kwa waombaji kama wachungaji au watumishi na kama huamini katika maombi basi utaendelea na mateso au la uamue kuachana naye.
Upo sahihi asilimia 100%
 
Back
Top Bottom