Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Kazi ni msingi wa maendeleo mkuu

Unaweza kuwa unafanya kazi inayokutaka kusafiri pia na mke akabaki nyumbani, wakati umeondoka utamfunga cctv cam?

Mtoa maada ameweka wazi kabisa kwamba mwenzie yuko desperate sababu ya uhitaji wa kazi. Hapo ni wazi kabisa Yapo yanayokosekana ambayo hata yeye anaona yanhitaji support ya mke

Hayo ya kufanya kazi mipaka ikulu na kuishia na madeni ipo lakini pia kubali au kataa hata mpendane vipi hamuwezi kaanga mapenzi mkayala na watoto, au mkachukukua marriage certificate mkaipeleka shule ikalipe ada za watoto au sababu mnapendana mpite madukani mgawiwe mavazi na kulipiwa bills
Usifananishe utafutaji wa mwanaume na utafutaji wa mwanamke, mwanamke akiamua kutafuta kipato hutumia raslimali zote ikiwemo hiyo pendwa, hawatafuti kwa jasho kama waume na ndo maana jamii za waarabu huwaweka ndani na kuwapa kila kitu ili kuwaepusha na mitego ya me
 
Wewe ulioa wa kuliwa sio wote wako hivyo. Uliza wanaume wenzio waliojua kutafuta wake wa kuoa kwa kutumia akili na hekima wakuambie
Acha utoto basi, asie wa kuliwa anaolewaje sasa? Kama umwona anafaa kuliwa ukamwoa unafikiri na wengine hawamwoni? Kikubwa ni kumuepusha na mazingira magumu ya vishawishi vya kuliwa. Ni jukumu la mme kumlinda mkewe na watoto.
 
Sasa kama kama wakwako analiwa popote ulipo mbali nae nisemeje🤔🤔🤔
Huoni kama ulioa mke wa kila mwanaume
 
Tatizo wanaume wa kitz mnatoa matumizi kidogo sana kwa wake zenu matumizi inaishia kula hakuna nyongeza ya matumizi yake binafsi Ndio maana anawaza kwenda Kagera kufanya kazi ungekuwa unatoa mpunga wa maana hapo asingewaza zaidi ya biashara,na biashara yenyewe humfngulii
 
Usifananishe utafutaji wa mwanaume na utafutaji wa mwanamke, mwanamke akiamua kutafuta kipato hutumia raslimali zote ikiwemo hiyo pendwa, hawatafuti kwa jasho kama waume na ndo maana jamii za waarabu huwaweka ndani na kuwapa kila kitu ili kuwaepusha na mitego ya me

Waarabu wenye uwezo huwapa pesa nyingi wake zaona chakula kinakuwa kingi nyumbani
Waswahili sasa mkitoa laki mnaona hela nyingi tena wakati haitoshi
 
Sasa kama kama wakwako analiwa popote ulipo mbali nae nisemeje🤔🤔🤔
Huoni kama ulioa mke wa kila mwanaume
Biblia imesema wanawake ni dhaifu, hivyo watunzwe na sio kuachwa ki holela, so ukipata mtoto wa kiume mfunze hilo mengine Mwambie amwombe Mungu amwepushie, hata Yesu alisema Ombeni msiingie majaribuni sasa ni ajabu kumwacha mke aende mbali majaribuni
 
Hebu nipe hilo andiko kwa ufasaha kwanza ili tujadili na hili la

Yeremia 31:22​

"Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."​

Kuna mabasi mazuri Dar-Bukoba full AC mwanzo mwisho kwa elfu 80., Ndege pia Zippo, sasa mnashindwa vipi kwenye hiyo 1.5M kutenga laki 5 kila mwezi mkasalimiane?
Kuna familia nyingi mke na mme wako mikoa mbalimbali na wako vizuri kuliko wanaoishi pamoja.
Wasiwasi unaoweza kuwa nao ni kama mke wako atakuwa na tamaa ya kuonja ile teknolojia ya Bukoba.
Hahaha wazungumzia katerero Shekhe? Achana na hiyo kitu ni balaa
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Kuwa tuu mpole mkuu muache shem akatafute pesa ili kuongeza kipato chenu cha familia
Umbali cyo tatzo cha muhmu ni mwanamke kujitambua na kujua thamani yake kweny familia yenu
..
 
Meeen, I like this…

Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.
Mpaka hapa naona una mke msikivu sana, angekuwa mwingine hapo hata msingejadiliana..yeye angekuja na hitimisho la "naenda kufanya kazi".
 
Kwanza ndoa kama haijafikisha miaka 10, jadilianeni kwanza kuwa muwazi tu kwake and how you feel, kama hauafiki yeye kwenda then jadilianeni jinsi ya kufanya alternative livelihood Ili awe busy.

Muulize kuhusu ujasiriamali na kipi anapenda, and then mjadiliane mnafikaje kwenye hiyo objective.

Sasa hapo ndio act kama kichwa Cha familia Sasa, lead the way with confidence.

Huu ndo ushauri
 
Hata mm mke wangu amepata nafac ya kufundisha Musoma huko na mm npo Dodoma lkn maisha yanaenda fresh tu , japo misunderstanding za hapa na pale haziwez kukosekana kweny long distance relationship Boss.
 
Mme moyo mwenzako ndo safari anainza
 
Hii ni ngumu sana, ila ndoa ya mbali ni ngumu sana. Yani kaeni chini muongee ila kaa ukijua ndoa ya mbali ni chanzo kikuu cha magomvi yasiyoisha.

Wanasema hata dar unaweza kugongewa, trust me huko bk mke hatagongwa kwa sababu ya umalaya, no..kwa sababu ya huo umbali.

Lakini pia, ni jambo jema sana kulea watoto mkiwa pamoja, stress za kuacha watoto wakae na mama yao huku mnaonana mara moja kwa miezi sita ni kubwa.

Hizi ndio changamoto kubwa za ndoa.
 
Waarabu wenye uwezo huwapa pesa nyingi wake zaona chakula kinakuwa kingi nyumbani
Waswahili sasa mkitoa laki mnaona hela nyingi tena wakati haitoshi
Hamna mwanaume mbali kwa mkewe bwana...sema tuu uchumi mgumu. Sasa wee umeolewa na mzabzab unataka eti upate matunzo kama umeolewa na njemba inayopata mshahara mil 12
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!
Ndoa ni ya watu wawili ikiisha ingia mtu wa 3 hapo ndoa itakuwa mashakani .Wewe na mkeo ndo wa kuweza kulimaliza hili na sio mtu wa 3 .Kuna ugumu kweli wa kuwa mbali na familia lakini kikubwa ni kumuomba mungu kila wakati .Kufanya kazi mwanamke si mbaya lakini angalia kama ni ya serikali mruhusu lakini ya watu binafsi sio ya kutegemea saana maana serikali unakuwa umedhaminiwa kwa vingi .
 
Huwa najiuliza wale wanaopewa ajira za kisiasa huwa inakuwa vipi, hasa pale mke anapoteuliwa kwenda mkoa mwingine mbali na makazi ya familia ya mume?
 
Back
Top Bottom