mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,207
Thubutuuuu.... Hao huliwa na dogodogo marioo msingi kiuno, sina kitu ila nna mwili wa mapenzi ninyoe kiduku
Wewe ulioa wa kuliwa sio wote wako hivyo. Uliza wanaume wenzio waliojua kutafuta wake wa kuoa kwa kutumia akili na hekima wakuambie