Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

khaaaa ana mtu huyoo ww ,yaaani ujio wako ni kumuharibia issue zake ,yaani kuna muhogo unamkuna huyo daaaaaah pole na safari kiongozi
 
Next time ukirejea mpige booonge moja la dushelele la maana, hamtozinguana tena mkuu
 
jifanye unampotezea nawe atajirudi....akizingua nachelewa kurudi af namuambia naona hujafurahi mimi kurudi home...
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
kwanini ulimzabua kofi y?
 
Huyo mwanamke ana kiburi na chanzo huenda ni mambo kadhaa hapo,

1.Aidha hakufurahia ulipoondoka ghafla ila ulipaswa kuwajibika kumpa maelezo ya kina ili umtoe wasiwasi na aweze kukuelewa vyema abaki na amani yake ya moyo, ana wivu sana na wewe. Pia huenda mawasiliano yenu hayapo vizuri kwa kifupi!

2.Humridhishi kimapenzi na umesahau wajibu wako kama mume, umeendekeza kazi zaidi mpaka umemsahau na hafurahii uwepo wako tena, unaishi nae kwa mazoea sana!

3.Huwa mnagombana mara kwa mara hivyo hio hali imemchosha na kupunguza mvuto wako kwake, you think that you are always right na ni mbishi wa kukubali kuwa unakosea at times.

3.Ameshaanza kuachia gap kwa wahuni hivyo kashampata msela exclusive anaempa extra time ya kusema nae na huenda washafikia stage ya kubanjuana hivyo we sahivi anakuchukulia baridi tu. Unamboa tu na hata hana mizuka na wewe ndio maana hata shauku ya kuja kukupokea haipo. "Usiempenda kaja" syndrome ndio imemkosesha pozi kabisa!

MUGUNDA Kumzaba kofi sio suluhisho la mwisho, inatakiwa umbembeleze ikiwezekana hata kupitia mechi ya kirafiki ili tu akueleze nini shida inayomsibu, jishushe nae ajione wa thamani kwako na kama alikuwa anakupenda sana tokea awali ila ana hasira tu basi atakusamehe na mtarudi kama kawaida, mdekezee na umpumbaze na vijizawadi ili tu awe roho safi nawewe. Mwanamke daima hubakia kuwa kama mtoto kwa mwanaume mwenye busara na hupendelea kudumu katika hali hio, hata ukimpiga usimpige kwa kisasi bali kumshtua tu juu ya mwenendo wake ila kisha lazma umbembeleze kwa upendo na hisia nae atajirekebisha na atazidi kukupenda!
 
Hilo kofi lilikuwa la kiwango gani blaza?
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
tafuta kizawadi kidogo tu,umpelekee,utaliona mpaka gego la mia sita
 
Umerudi nnyumbani kwako baada ya kuwa nje wiki nzima, mkeo yuko chumbani, we unakaa kwenye kiti sebuleni na housegirl kwa masaa mawili mazima!!!!!! Ulikuwa unafanya nini, halafu unaingia na kumpiga!!! Najaribu kuwaza hayo mazingira tu.
 
Ndoa za miaka hii ni majanga ivi kila mtu akileta matatizo yake humu itakuwaje? Ndoa ni yenu nyie wawili huna haja ya kuleta humu grow up
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
Inaonekana Kulikuwa Na Tatizo Kabla Hujaondoka, Hauwezi Rudi Safari Ukafikia Kukaa Sebuleni Ilhali Unajua Wife Yuko Kwa Room. Ilibidi Umfuate Room Na Kumjulia Hali, Sasa Kukaa Kwako Sebuleni For 2hrs Inaonyesha Kama Ulikuwa Unajipanga Hivi.
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
we nae una matatizo? kwaiyo umetoka safari umekaa kwenye kiti masaa mawili bila kukumbuka una mke ndan ya nyumba umtazame kama yupo au hayupo ndani? na umemzaba kibao kwa kosa gani? wanaume wengine bana..lmfao. kaombe ushauri mental hosp na sio hpa.
 
Ndio shida ya kuoa wanawake wasiofundwa tangu utoto. Hizi ni products za makuzi mabovu na tabia mbaya, hawa ni aina ya wanawake wanaotafuta usawa kwenye nyumba, a man will always be on top.

Lakini kwa nini usiende chumbani kumsalimia ulivyoona haji kukupokea?
hilo ndo la kumuuliza..alikaa kwenye kiti masaa ..mawili anangoja nini???
 
Na maneno mazuri kwa mkeo ndiyo chakula chake kisha mpe chocolate ammumunye taratiiibu. We unawafuata wajinga wa JF wasiojua maana ya mapenzi? Mapenzi hayataki ubabe. Na mkeo usimpimie kipimo cha mtu mwingine.
na kawaida ya mafala huwa wanaiga ushauri mbovu..kasoma komment za maboya kuwa mwnmke apigwe ndo ubabe.
 
Wewe nawe una mambo ya zamani kweli, unakubali ununiwe na mwanamke? Yaani huijui saikolojia ya wanawake hadi leo? Rudi kafundishwe upya maana unaniangusha sana!. Utacheka maana unaujua ukweli, kamwe hili la kununiwa haliwezi kutokea kama umemfanyia yafuatyao, unless awe na mapepo;
  1. Trust me you didn't perform well; meaning that she still needed it badly
  2. Una muda kama week nzima imeisha hujamgusa ndio maana...
  3. Huna approach nzuri kwenye mchezo that's why she is not enjoying na hivyo kuwa furious
Chunguza sana kati ya hayo niliyokueleza utaamini maneno yangu, THE WAY FORWARD
  1. Mfanyie surprise kasha jitahidi u-perform to the maximum as if ni ndio day one, si unajua zile Enzi zako? Kila mtu ana nyakati zake ambazo aliwahi ku-perform had nne, why? Kwakua "alikua mpya", kwahio mfanye aonekane mpya tena mbele ya macho yako, no matter ame-fatten kiasi gani.
  2. Mtanie kidogo, sio utani sana but at least tabasamu kiasi kumuonyesha that you are enjoying "the journey" hata kama sivyo.
  3. usijenge mazingira yoyote yale ya kumfanya akumbuke chochote ambacho ni negative, kuwa selective sana kwenye maneno yako.
  4. Epuka kuwa na special timimg ya kuingia uwanjani, yaani jenga mazingira ya yeye kuelewa kuwa kuna jambo linatafutwa( Mama Fulani naomba nitafutie shati langu chumbani) hata akijibu vibaya insist in a very polite way kuwa unahitaji msaada wake wa kupata hilo shati, soksi, kitabu n.k, anaweza kukwambia sitaki tafuta mwenyewe (very rare though) lakini uki-insist atajua what you mean
Wallah baada ya hapo utaona atashinda kutwa nzima ana tabasamu tu, mara ka-juice, mara maji ya kukoga, mara uchaguliwe nguo nzuri ya kuvaa.... Sharti lake hii dawa ni kwamba lazima ulete mrejesho, kumbuka Waungwana walisema Mke hapigwi..... wana fimbo yao! Usiwe mjinga utaharibu ndoa yako au atakuja kukugeuzia kibao akutie aibu kaka.

aione bia miss chagga pekee
bora hta wanaume wote wangekua na mawazo kama yko.
 
Minaona kipo kilicho jificha zaidi ya hiki ulicho tueleza.
Anyway......
Stress pia ni tatizo kubwa hasa kwa afya ya mahusiano/ ndoa.
Kama wewe umetoka safari na umefika nyumbani, ilikuaje ukaishia sebleni (eti 2 hours kwa chair)..[emoji15]
Doe's it making sense?
Kwanini hauku fika na kupitiliza chumbani na kumuonyesha huyo mkeo ujio wako na kwamba umem miss?
Then, kama angekua na negative reaction/ respond..... basi hapo ndipo ungekuja kutueleza haya unayo yasema.
hiyo week nzima alikua kwa mchepuko. asilete porojo nyngine. case dismiss.
 
Ivi kweli angekua mwanao wa kike amekuletea kesi hiyo ungeamuaje kwamba ni sawa kufanya ulicho fanya?
Mwanamke ni mtu ambae unatakiwa kumchukulia pole pole huenda akawa kuna kitu kinamkera,ivi kwamfano angekua ametongozwa huko nje na amekataa kwsababu anaheshimu ndoa yake na wewe anaekutunzia heshima umerudi na kosa sio kosa unampiga unadhani hatofanya kitu kibaya na hutojua au wakati wa kuja kujua its too late?
Mwanamke ni pambo mkuu sio mtu wa kumpiga,nguvu zako wewe sio sawa na yeye,kumbuka kua ni Mama wawatoto wako na mlezi wa Penzi lako.muombe msamaha kama mwanamme mwenye kujua majukumu yake.
typa men.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom