Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Labda kuna kitu ulimkwaza ndo maana akawa na hasira na wewe..
Ila ulichokifanya hakikuwa sahihi..
Ungeongea nae kwa upole kueleze kwa nini kafanya hvyo amechukia nini..
Then ungeona tu reaction yake baada ya mazungumzo..
 
Ataanzaje kuongea huku tayari umemmjumlisha na kumgawanya makofi.
 
wenzio wakitoka safari tunachapwa na dushe eti wewe unachapa mke kibao kweli unatatizo........... nenda kamgonge mtasameheana .. acha kupiga mkeo wewe ..... uliondoka ghafla labda alihisi umeenda kwa mchepuko na ulivyompiga ndiyo umeharibu kabisa
 
Labda alikuwa amekuandalia mambo matamu chumbani,
Na alitegemea ukifika break ya kwanza chumbani lakini ukafikia kwenye "kitu" kwa masaa mawili

Mbembeleze tu kwa upendo
yani kashakitegesha halafgu jamaa anatumia uso na mikono mfyuuu
 
Braza punguzeni kurudi mikono mitupu kabisaaa,,,y@@N ungefanya kama hiv kind unaoingia,,,waooo kipenzi cha roho yangu furAha ya moyo wangu,,,uhal gan sweetiy ilhali ushamkaribia unamshika paji la USO au unafanya kitu Fulani cha kumfanya arelax,,huku unamhamasisha na kumteka fikraa juu ya uwepo wako,,,am sure angebadilika hats kama yypo vibaya,,,halafu acha ubwege Wa kupiga watoto wazuri boya we,,,siku nyingine utasafir atakuombea ajali ufilie mbali,,,kuwa na maamuzi ya busara Kwa mahusiano
 
Tabu yako ni moja umeanza kumfananisha housegirl na mkeo...hilo ni jambo baya sana.

Mkeo alikumisi akaamua akusubirie chumbani akifikiri nawe utaingia ndani kumsaka ili umkute amekaa mkao wa wewe na yeye kupakuana kwa kutokuonana kwa wiki mbili.

Sasa wewe unaingia ndani unafurahishwa na hg unajiona king unaoshia kumsaka haujui hata kapenzi hata kubembelexa unamxaba kibao. Kweli haufai kabisa wewe, hata akichepuka sawa tu sababu ulijiona housegirl kakupa chati kama vile haujaoa. Na ukimwambia hayo ya kufurahia housegirl hahahaaaa unalo.
 
Umekosea kumpiga..Muombe msamaha zen ndo mzungumze
 
Mchepuko unafanya kazi ndo maana hajakuchangamkia, umerudi nyumbani bila yeye kutegemea kama utarudi.
 
mda mwingine ukirudi nyumbani bila zawadi yeyote huwa wanajinunisha..
 
Du! Kosa kubwa sana kumpiga mwanamke ungemuacha to kisilan chake kingeisha to we ungeoga then ukalala upumnzishe akil
 
Inawezekana alikumiss sana...
akaona bora akusubirie chumbani

inawezekana alikuwa na mtu wake siku hiyo hiyo we uumeharibu timing ..ndo maana
kashindwa hata ku pretend kafurahi kukuona

inawezekana..inawezekana.....
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safar ambayo nimekaa takriban wiki nzima,safar yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumban nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumban hakuweza kutoka ndan ya chumban, nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawililizima nilivyoenda chumban nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake, ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefula, haelweki, eti nimemkosea, jaman nimfanyeje ili arud kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lkn yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au haniitaji niwepo nyumban? Naomba mnishauri.
Leo jioni muombe utoke nae mkapate chakula cha jioni pamoja,mazingira tofauti tuu na hapo nyumbani,zungumza nae mnyenge eeeh,msikililize anataka nn au amemiss nn wiki moja ambayo haukuwa nae hapo home[emoji5] [emoji5] na n.k akiendelea kununa jamanii mpe tu suspension sasa atakuwa ana yake sasa[emoji28]
 
We mjinga kweli umeebda bila kuaga unafikiti ye malaika ajue? Hukujus roho yske ilikuwa inskuwaza tu na wasi2 muda wote? Hicho kibao ndio zawadi uliyomletea ya au ni ua la kuomba samahani ya kusafiri ghaflabila taarifa? Ingawaje ht yeye hakuw sahihi kufanya vile. Angetoka tu kukupokea nk. Hebu nikuulize. Yeye angepata safari ya ghafla km wewe angerudi hspo ingekuwajr? I mean put urself in her shoes! Halafu ulete mrejesho. Wanaume mna penda sans kutumia maguvu physically badala ya emotionally. Pole
 
Ndio shida ya kuoa wanawake wasiofundwa tangu utoto. Hizi ni products za makuzi mabovu na tabia mbaya, hawa ni aina ya wanawake wanaotafuta usawa kwenye nyumba, a man will always be on top.

Lakini kwa nini usiende chumbani kumsalimia ulivyoona haji kukupokea?
 
Kuna kitu hujakisema, umekificha hapo uliposema safari ilikuwa ya ghafla. Mke hawezi nuna tu bila sababu. Sema ulichomkosea mpaka asifurahie ujio wako
 
Labda alikuwa amekuandalia mambo matamu chumbani,
Na alitegemea ukifika break ya kwanza chumbani lakini ukafikia kwenye "kitu" kwa masaa mawili

Mbembeleze tu kwa upendo


Ina maana na wewe ulikuwa huna hamu na mkeo? Je. Kama alijificha huko kwa sababu alikuwa amezidiwa anakusubiri ukamuhudumie? Si kila kitu afanyacho mkeo ni kosa. Kabla ya kuchukua hatua muulize nini tatizo.
Na mwanamke kama alijiandaa amepanga ukifika upate huduma ndipo mengine yaendelee, nawe ukifika ukakaa mahali ambapo anajua hakuna faragha mood yake inaharibika kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom