Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Kununa ndio pozi baada ya kupigwa kibao,hata wewe ukipigwa lazima unune...subiri maumivu yaishe.we kibao umekivuta mpaka amehisi humpendi!
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
Kwanza kosa lako kufikia kwenye kiti Massa mawili, hapo ni kwako ulitakiwa upitirize chumbani moja kwa moja sasa Massa mawili upo tu kwenye kiti, na mdada waka alikua wapi?
 
Seems mgeni kwenye ndoa wewe,
Unatakiwa ukishamchapa kibao/vibao cha ukweli unamuacha kidogo ajifikirie unaenda pata maji ya kuoga au msosi ukirudi unambembeleza wee mpaka akuelewe halafu mnaishia kupiga heavy match
Hapo hatorudia na akifanya jingine pia the same lazima muishie kwenye match na lazima ugomvi uishe the sameday msilale mmegombana kamwe
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
daah! ushaharibu ujue, sasa fanya iviii- mtongoze upya kama vile ambavyo ulimtongoza mara ya kwanza, afu yeye ataona kama ndo anapata jembe jipya.
 
Ishini na wake zenu kwa AKILI AKILI AKILI
Hawa viumbe inahitaji akili kuishi nao
 
kumpiga sio sahihi,,, lazima ujue kuhandle hasira la sivyo hawa viumbe unaweza labua kila siku....haikuwa vema kukaa ndani wakati akujua hukuwepo zaidi ya wiki,,,, siku zote huwa nashauri upuuzi lkn huwa na matokeo mazuri,,,,, house gal anavutia?? kama ndivyo kula mzigo blood full,,,, lazima atajua,,,,si ndio kamwachia akupokeee...asili kiume lazima kugonga gonga hukoooo........mke maisha....
 
Hiv kweli mtu haupo wiki nzima lkn unafika hata karibu hamna, kweli ilikuwa hasira mkuu
Je ulimpigia cm kumwambia unarudi?mambo mengine mnataftaga wenyewe mana km hukumwambia upo njian hata km ni mm ningejihis vibaya labda humuamini,wanawake tunamambo mengi sana na hatuyaongeagi,hawez kufanya hvyi bila sababu yy cyo kichaa.
 
Teh teh mkuu wewe mwenyeji wa kanda maalumu au kenya? tafuta muda muongee na muyamalizie maongezi kwa tendo jema la ndoa.
 
wenzio wakitoka safari tunachapwa na dushe eti wewe unachapa mke kibao kweli unatatizo........... nenda kamgonge mtasameheana .. acha kupiga mkeo wewe ..... uliondoka ghafla labda alihisi umeenda kwa mchepuko na ulivyompiga ndiyo umeharibu kabisa
Na hili limetoka kwa mchepuko dozi aluzopewa huko karudi ht upendo kwa mkeo haupo...hivi km alikua anaumwa je.?kwanini yy asianze kumsalimia....kawaida mgen ndio huanza kusalimia wenyeji..mijanaume mingine sijui ya wapi..sijui wamelelewa jeshin hovyooo....ufike tu na uanze mabao.???
 
Na maneno mazuri kwa mkeo ndiyo chakula chake kisha mpe chocolate ammumunye taratiiibu. We unawafuata wajinga wa JF wasiojua maana ya mapenzi? Mapenzi hayataki ubabe. Na mkeo usimpimie kipimo cha mtu mwingine.
Ndio mana wanagongewaaa na badooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom