Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mbembeleze mkuu labda hakutoka alikuwa na hamu na dyudyu
 
Braza punguzeni kurudi mikono mitupu kabisaaa,,,y@@N ungefanya kama hiv kind unaoingia,,,waooo kipenzi cha roho yangu furAha ya moyo wangu,,,uhal gan sweetiy ilhali ushamkaribia unamshika paji la USO au unafanya kitu Fulani cha kumfanya arelax,,huku unamhamasisha na kumteka fikraa juu ya uwepo wako,,,am sure angebadilika hats kama yypo vibaya,,,halafu acha ubwege Wa kupiga watoto wazuri boya we,,,siku nyingine utasafir atakuombea ajali ufilie mbali,,,kuwa na maamuzi ya busara Kwa mahusiano

Na maneno mazuri kwa mkeo ndiyo chakula chake kisha mpe chocolate ammumunye taratiiibu. We unawafuata wajinga wa JF wasiojua maana ya mapenzi? Mapenzi hayataki ubabe. Na mkeo usimpimie kipimo cha mtu mwingine.
 
Lazima uwe na akili ya ziada kuwaelewa wanawake, akiwa na njaa atakuambia vipi una njaa? Ukisema hapana niko poa usitegemee akuambie basi mi nataka kula.
 
Mchunie uendelee na mambo yako mpaka atakapokuwa tayari mwenyewe kukusemesha.
 
Umemkuta unataka akusalimie. Au ulitaka akuamkie?
 
Duh! Wewe ni mtu hatari sana. Kama unaweza kumzaba mkeo kofi kwa issue ndogo kama hiyo, siku ingine si unaweza ukamuua? Siku ingine usifanye tena ivyo. Mapenzi ni kubembelezana bana. Yeye alitegemea uingie umshobokee ukifika pale mabusu kibao na zawadi umpe. Umpe maneno matam kuwa you couldint wait to see her na umpe makiss mawili matatu, baada ya hapo ungeingia bafuni kuoga ukirudi chumbani ungekuta kesha kutanulia kabisa... Sasa you blew it... Next time kuwa diplomatic....
 
Wewe nawe una mambo ya zamani kweli, unakubali ununiwe na mwanamke? Yaani huijui saikolojia ya wanawake hadi leo? Rudi kafundishwe upya maana unaniangusha sana!. Utacheka maana unaujua ukweli, kamwe hili la kununiwa haliwezi kutokea kama umemfanyia yafuatyao, unless awe na mapepo;
  1. Trust me you didn't perform well; meaning that she still needed it badly
  2. Una muda kama week nzima imeisha hujamgusa ndio maana...
  3. Huna approach nzuri kwenye mchezo that's why she is not enjoying na hivyo kuwa furious
Chunguza sana kati ya hayo niliyokueleza utaamini maneno yangu, THE WAY FORWARD
  1. Mfanyie surprise kasha jitahidi u-perform to the maximum as if ni ndio day one, si unajua zile Enzi zako? Kila mtu ana nyakati zake ambazo aliwahi ku-perform had nne, why? Kwakua "alikua mpya", kwahio mfanye aonekane mpya tena mbele ya macho yako, no matter ame-fatten kiasi gani.
  2. Mtanie kidogo, sio utani sana but at least tabasamu kiasi kumuonyesha that you are enjoying "the journey" hata kama sivyo.
  3. usijenge mazingira yoyote yale ya kumfanya akumbuke chochote ambacho ni negative, kuwa selective sana kwenye maneno yako.
  4. Epuka kuwa na special timimg ya kuingia uwanjani, yaani jenga mazingira ya yeye kuelewa kuwa kuna jambo linatafutwa( Mama Fulani naomba nitafutie shati langu chumbani) hata akijibu vibaya insist in a very polite way kuwa unahitaji msaada wake wa kupata hilo shati, soksi, kitabu n.k, anaweza kukwambia sitaki tafuta mwenyewe (very rare though) lakini uki-insist atajua what you mean
Wallah baada ya hapo utaona atashinda kutwa nzima ana tabasamu tu, mara ka-juice, mara maji ya kukoga, mara uchaguliwe nguo nzuri ya kuvaa.... Sharti lake hii dawa ni kwamba lazima ulete mrejesho, kumbuka Waungwana walisema Mke hapigwi..... wana fimbo yao! Usiwe mjinga utaharibu ndoa yako au atakuja kukugeuzia kibao akutie aibu kaka.

aione bia miss chagga pekee
 
Hii ndio tabu ya kuwa na mke bila mchepuko....kam ungekuwa unamcheluko ungeamia huko..yy muache aendelee kununa
 
Wewe nawe una mambo ya zamani kweli, unakubali ununiwe na mwanamke? Yaani huijui saikolojia ya wanawake hadi leo? Rudi kafundishwe upya maana unaniangusha sana!. Utacheka maana unaujua ukweli, kamwe hili la kununiwa haliwezi kutokea kama umemfanyia yafuatyao, unless awe na mapepo;
  1. Trust me you didn't perform well; meaning that she still need it badly
  2. Una muda kama week nzima imeisha hujamgusa ndio maana...
  3. Huna approach nzuri kwenye mchezo that's why she is not enjoting na hivyo kuwa furious
Chunguza sana kati ya hayo niliyokueleza utaamini maneno yangu, THE WAY FORWARD
  1. Mfanyie surprise kasha jitahidi u-perform to the maximum as if ni ndio day one, si unajua zile Enzi zako? Kila mtu ana nyakati zake ambazo aliwahi ku-perform had nne, why? Kwakua "alikua mpya", kwahio mfanye aonekane mpya tena mbele ya macho yako, no matter ame-fatten kiasi gani.
  2. Mtanie kidogo, sio utani sana but at least tabasamu kiasi kumuonyesha that you are enjoying "the journey" hata kama sivyo.
  3. usijenge mazingira yoyote yale ya kumfanya akumbuke chochote ambacho ni negative, kuwa selective sana kwenye maneno yako.
  4. Epuka kuwa na special timimg ya kuingia uwanjani, yaani jenga mazingira ya yeye kuelewa kuwa kuna jambo linatafutwa( Mama Fulani naomba nitafutie shati langu chumbani) hata akijibu vibaya insist in a very polite way kuwa unahitaji msaada wake wa kupata hilo shati, soksi, kitabu n.k, anaweza kukwambia sitaki tafuta mwenyewe (very rare though) lakini uki-insist atajua what you mean
Wallah baada ya hapo utaona atashinda kutwa nzima ana tabasamu tu, mara ka-juice, mara maji ya kukoga, mara uchaguliwe nguo nzuri ya kuvaa.... Sharti lake hii dawa ni kwamba lazima ulete mrejesho, kumbuka Waungwana walisema Mke hapigwi..... wana fimbo yao! Usiwe mjinga utaharibu ndoa yako au atakuja kukugeuzia kibao akutie aibu kaka.

aione bia miss chagga pekee
Nimeona aisee upo vyema .. Fimbo yetu ya nyama
 
kumpiga mwanamke wako kibao ni Sunnah...nawashangaa kweli wanaume wa siku hizi unamlea mwanamke kama mama ako mzazi ebooo ndio maana wanawapanda vichwani enzi zetu wanawake walikuwa wanyenyekevu mno...mwanamke anakuja kukupokea ukiwa mtaa wa tatu eti huyo wako umeingia mpaka ndani bado anakuletea masharti kama mke mwenzio eboooo
 
Yaani hiyo ndio sababubya kumpiga vibao???

Kama una nguvu si ungechujua jembe ukaenda kulima? Au shoka ukachanje kuni???????

Ndio maana mkeo ana hasira..... pia ungemwanza salamu ungechubuka ngozi? Kuna wanawake wana tabu loh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom