Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

Hiv kweli mtu haupo wiki nzima lkn unafika hata karibu hamna, kweli ilikuwa hasira mkuu
Sio hasira Mkuu ni ujinga.....

Hata usingekuwepo mwaka mzima ukisalimia unachubuka ngozi? Unakufa? Au usiku wako unageuka mchana?

Yaani hata hujui mwenzio ana masaibu gani unafikia ghubu la salamu????
Khaaaaaaa
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
huyo kashapata wa kumziba sasa ulivyoludi kaona utamuharibia sasa we anza kufuatilia nyendo zake tu kimya kimya
 
Minaona kipo kilicho jificha zaidi ya hiki ulicho tueleza.
Anyway......
Stress pia ni tatizo kubwa hasa kwa afya ya mahusiano/ ndoa.
Kama wewe umetoka safari na umefika nyumbani, ilikuaje ukaishia sebleni (eti 2 hours kwa chair)..[emoji15]
Doe's it making sense?
Kwanini hauku fika na kupitiliza chumbani na kumuonyesha huyo mkeo ujio wako na kwamba umem miss?
Then, kama angekua na negative reaction/ respond..... basi hapo ndipo ungekuja kutueleza haya unayo yasema.
 
Ulimpata kidogo hapo anakutisha tu! Sasa fanya hivi..; muulize kwa nn ananuna ilhali ulimstua tu? Akijibu kwa nyodo , piga mibao ya nguvu sana usoni ya ghafla ili iingie vizuri! Huyo mwanamke mjeuri dawa ndio hiyo tu Pumbavu syake! !
 
Minaona kipo kilicho jificha zaidi ya hiki ulicho tueleza.
Anyway......
Stress pia ni tatizo kubwa hasa kwa afya ya mahusiano/ ndoa.
Kama wewe umetoka safari na umefika nyumbani, ilikuaje ukaishia sebleni (eti 2 hours kwa chair)..[emoji15]
Doe's it making sense?
Kwanini hauku fika na kupitiliza chumbani na kumuonyesha huyo mkeo ujio wako na kwamba umem miss?
Then, kama angekua na negative reaction/ respond..... basi hapo ndipo ungekuja kutueleza haya unayo yasema.
Well said... Thanks..
 
Mkeo ni mpuuzi!!
yaani umesafiri wiki 2 unarudi amekusikia halafu anapiga kimyaa?? shenz kabisa sijui mnatoaga wapi type hz
 
Kawaida anaye ingia ndo anatakiwa atoe Salaam. Halafu hukupaswa kumpiga.utakuwa wa kule wanaopiga wanawake.mwanamke anahitaji kubembelezwa na hapigwi abadan.hapo umekosa
Mtake radhi mwenzio
 
Jana nimefika usiku wa saa mbili nikitokea safari ambayo nimekaa takribani wiki nzima, safari yenyewe ilikuwa ya ghafla sana, nilipofika nyumbani nikapokelewa na housegirl kwa shangwe sana, mke wangu alikuwa chumbani hakuweza kutoka ndani ya chumbani.

Nilifika kwenye kitu nikakaa karibu masaa mawili mazima nilivyoenda chumbani nikakuta amejilaza tu, nikamuuliza why hata salamu hunipi akasema eti mimi ndo ningeanza kutoa salamu kwake.

Ghafla nikashitukia nimeisha mzaba kofi moja tu, tangu mda huo amefura, haeleweki, eti nimemkosea, jamani nimfanyeje ili arudi kwenye normal yake, maana mie hasira zimeisha lakini yeye as if ndo kwanza, Je nilikosea? Au hanihitaji niwepo nyumbani?

Naomba mnishauri.
Ivi kweli angekua mwanao wa kike amekuletea kesi hiyo ungeamuaje kwamba ni sawa kufanya ulicho fanya?
Mwanamke ni mtu ambae unatakiwa kumchukulia pole pole huenda akawa kuna kitu kinamkera,ivi kwamfano angekua ametongozwa huko nje na amekataa kwsababu anaheshimu ndoa yake na wewe anaekutunzia heshima umerudi na kosa sio kosa unampiga unadhani hatofanya kitu kibaya na hutojua au wakati wa kuja kujua its too late?
Mwanamke ni pambo mkuu sio mtu wa kumpiga,nguvu zako wewe sio sawa na yeye,kumbuka kua ni Mama wawatoto wako na mlezi wa Penzi lako.muombe msamaha kama mwanamme mwenye kujua majukumu yake.
 
Kumbe wa kukuchangamkia yupo.... Ahaa 'don't bother' tuheshimiane mim nmeenda kwenye mihangaiko kwa ajili ya familia nafika nakaa 2hours mtu haon tofaut ya uwepo wako ndan... Khaa... Sasa ukisafir siku nyengne muage bek tatu inatosha
 
anyway mi sijui real situation ilivyokuwa ila kuna maswali ya kujiuliza,je amewahi kuwa na hiyo tabia kabla? na je ulivyoondoka hadi unarudi mlikuwa mnawasiliana,na mawasiliano yalikuwa yakienda vizuri? na je ujio wako aliufahamu au umekuja tu ghafla? na je nini huwa anakufanyia pindi unapotoka safari?
 
Duuh m'mke hapigwi cku hzi hiko ni kitendo cha udharirishaji umemfanyia, kisa salamu tu ndio Kofi m nahic kuna lako jingne ulikuwa nalo either huko ulikotoka au hapo ulivyofika.. Lazma anune ndio wanawake tulivyoumbwa na ndio maana mliambiwa muishi nao kwa akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom