Mke wangu kabadilika kimuonekano

wakat unaenda mazoezini asubuhi, usisahau kwenda nae, na jioni pia ivo ivo halafu muhimize aisependelee sana vyakula vya mafuta.

mboga za majani sana na matunda kwa wingi
 
Haaa haaaa haaa
 
we bwege tu huwezi mdharau mkeo hivo na useme km umepata malaya huko anakudanganya ....jrb kuelewa thamani ya mkeo na usifikirie kutumia bor* tumia akili
 
Na wanawake acheni kujiachia mana nafikir katika uchumba mwanaume mwingine anakuambia ninapenda mwanamke potable pengine huyo mwanamke kabla ya hapo ulikua potable, sasa acheni kujiachia Ata kama ndio ashakuoa , kula kidogo fanya zoez mwingine anakula sahan mbili akidai nanyonyesha mumewe atakuhama mana tumbo linakua Hilo had unapoteza mvuto, pia wanaume kuwen wawaz kwa wake zenu kua napenda umentain shape yako na muonekano wako
 
Kama ulioa tako na hips pole sana.
Wanadamu hubadilika ndg yangu.
Je angeugua na kukonda sana ungemkimbia?
Au angepata chongo ungemfukuza?
Ikiwa anakuheshimu, anakupenda nakutunza familia vyema unataka nini?
Mpende mkeo miili hubadilika, mtafutie diet stahiki atarudia hali yake
 
Si umemzalisha ulitegemea abaki vile vile apo utataka ushauri uambiwe mwache, uyo ni mkeo uliyefunga nae ndoa vumilia tu acha hzo tamaa
Nimekupenda bureee...ushauri[emoji106]
 
Mpaka kifo kiwatenganishe, chezea uzazi wewe
 
Mtishie kua una mchepuko na ana mimba yako fasta iyo ndambi itapotea!
Vinginevyo asile baada ya saa 12 jioni,na mchana ale kiasi kidogo itamsaidia.
 
Kuwa na kimada rafiki yake na hakikisha anajua kaa nae mwaka tu na uwe unalala uko mara moja moja atarudia shape yake na ukirudi full diet na mazoezi
 
..Haya mwache sasa,maana ndo unataka tukuambie Hivyo
 

Mpige chini huyo mkeo. Tafuta mwingine anayekwenda na viwango vyako vya sasa hivi.
 
Ndio shida ya kupenda mwonekano, mwingine akizaa nyonyo zinalala, mwingine tumbo linaongezeka, na umri pia ukisogea lazima mtu abadilike kimwonekano.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…