Mke wangu kabadilika kimuonekano

Mkuu kumbuka pia hiyo ni mid set yako. Yaani the way you looked at her mwanzoni na sasa hivi is different . try to look ata her from the same angle as you did in the beginning.
 
Anaweza kuta anasaidiwa
 
Jamani hili zoezi nimelipenda. .
 
Mke wako ulisha mvurunga vurunga leo unataka umwache wee ni ***** kiwango cha reli (SG) Standard Gauge!!

Haya ni baadhi ya madhara ya vijana kuwahi kuoa!!

Wee jamaa ungekuwa ndugu yangu ningekodi lile dude la kulipua ndege za kivita nije nikusambaratishe on point!
 
duu kumbe
 
Wewe hicho kitambi chako vp? Unajiona upo vile vile siyo??
 
umenena vyema kabisa, kula likes zangu mkuu. ila angalizo, asije oa skeleton ibakie kuwa skeleton atajuta.
 
Kuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!
wewe jamaa unashangaza sana
 
Na ww siyo yule wa kipindi kile,mkeo anabadilika na ww unabadilika...

Chukua kioo na picha yako ya kitambo afu jifananishe...

Pia kuna nguo hazikutoshi tena...

Ndo hvyo tena na ww unabadilika mkuu!
 
TATZO UNADANGANYIKA NA AKINA AMISA WENZIO WANAHANGAIKA NA MADAWA SI KITOTO.. ACHANA NA PICHA ZA INSTAGRAM KIJANA UTAKUJA KUJUTA
 
Ngojea ipite tena miaka mingine mitano then utoe majibu;
 
Sasa ulitaka asibadilike hata kitu ukikivaa sana kitatanuka tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…