pole sana, ulishawahi kuchunguza kwa nini mwanzo aliachika?
Apana huyu Mwanamke anaonekana Mapepe tu, na wapo wengi sana now days!wanababaika na vitu vidogo tu then wanakuja kukumbuka shuka asubuhi wakati Mbu wamemg`ata usiku kucha,ingawa wengi wanamyooshea kidole huyu mama,mie nahisi ndoa yake iliyopita ilimuathiri amejikuta anakaa kimachale machale.:twitch:
Achana naye huyo,atakuua bure!mwenzio nilishaweka nadhiri ya kutokuoa aliyeachika ama aliyekwishazaa!
Mkuu hivi wanawake walio achika hawana haki ya kuolewa tena?Pole sana kwa hayo yanayokukuta. Hapa kuna maswali najiuliza:-
>> Wewe mwanaume una umri gani sasa?
>> Kwanini uoe mwanamke aliyeachika, Je, ulizifahamu sababu za kuachika kwake?
>> Mlioana kwa namna gani, mlifunga ndoa au mlichukuana kienyeji kienyeji?
Nafikiri maswali haya yakijibiwa vizuri pamoja mengine wanayojiuliza wengine utapata jibu.
Nakushauri uwaite wazazi wako na wazazi wake, uwaeleze tatizo lenu na yeye hakiwepo.nimeoa mwanamke aliyeisha olewa zamani na akaachika, maelewano na masikilizano ndani ya nyumba mwanzo yalikuwa mazuri, ukorofi ukaanza ghafla, akashika mimba akaenda itoa kisha akadai imetoka yenyewe, safari za kwenda kwao zikawa haziishi , na vitu vyake alivyokuja navyo kwangu akawa anahamisha kidogo kidogo kila nnapokuwa sipo.
Nilipomuuliza akadai yeye kuna mtu amemuazima pesa na ili akasome ndio kaamua na yeye amuazime vitu vyake kisha akimaliza kusoma ataenda kuvigomboa, nikamuuliza mbona mimi hukunishirikisha ktk hilo japo vitu ni vyako, basi kuanzia hapo ni makeke tu na hivi niongeapo yuko kwa dada yake yapata wiki na zaidi hakuna ugomvi zaidi ya hilo suala, jana ananiambia uko kimya hali ya kuwa unajua nahitaji kwenda kusoma huku sina hela nikueleweje, NIMEMWAMBIA KAMA UNAJUA MIMI NI MUMEO NAWAJIBIKA KWA HILO NI VIPI UKAE KWA DADA YAKO ...?
NIMEKATA MAWASILIANO NA YEYE KAKAA KIMYA ..........
Endelea kukauka na kama unaweza kusafiri japo kwa mwezi.nimeoa mwanamke aliyeisha olewa zamani na akaachika, maelewano na masikilizano ndani ya nyumba mwanzo yalikuwa mazuri, ukorofi ukaanza ghafla, akashika mimba akaenda itoa kisha akadai imetoka yenyewe, safari za kwenda kwao zikawa haziishi , na vitu vyake alivyokuja navyo kwangu akawa anahamisha kidogo kidogo kila nnapokuwa sipo. Nilipomuuliza akadai yeye kuna mtu amemuazima pesa na ili akasome ndio kaamua na yeye amuazime vitu vyake kisha akimaliza kusoma ataenda kuvigomboa, nikamuuliza mbona mimi hukunishirikisha ktk hilo japo vitu ni vyako, basi kuanzia hapo ni makeke tu na hivi niongeapo yuko kwa dada yake yapata wiki na zaidi hakuna ugomvi zaidi ya hilo suala, jana ananiambia uko kimya hali ya kuwa unajua nahitaji kwenda kusoma huku sina hela nikueleweje, NIMEMWAMBIA KAMA UNAJUA MIMI NI MUMEO NAWAJIBIKA KWA HILO NI VIPI UKAE KWA DADA YAKO ...? NIMEKATA MAWASILIANO NA YEYE KAKAA KIMYA ..........
Achana naye huyo,atakuua bure!mwenzio nilishaweka nadhiri ya kutokuoa aliyeachika ama aliyekwishazaa!
Miss Judith u so wise !