Mwanaume kama hufanyiwi haya ufikapo nyumbani kwa mkeo akiwa nyumbani wewe umeoa mwanaume mwenzio.mwanamke mzuri anamjali mumewe hata kuliko na watoto ,unakuwa na muda wakushow love kwa watoto na muda wa kwa baba,ni lazima familia ijue na ijenge mazingira kuwa sasa mama anamhudumia baba sie tukae pembeni!!!
1.upokelewe bag nakukaribishwa ndani kwa tabasamu zuri haijalishi mmeshuka wote hapo kwenye gari!kutoka job
2.aache shughukli zote akupeleke chumbani nakukuuliza habari za utokako/kazi/umeshindaje
3.na wakati anakuuliza taratiibu anakuvua viatu,soksi, na nguo unabaki na nguo ya ndani
4.anakupa kinywaji baridi alichokiandaa maji/juice au chiochote
5.wakati unakunywa yeye anakuwekea maji ya kuoga kama unavopendelea moto/baridi
6.karibu mume wangu uoge au unataka nikuogeshe leo??
7......maandalizi ya chakula na mengineyo wewe rudi sasa kaendelee na watoto kwa kumuaga.
hivi ukipokelewa hivyo kweli utawaza ngoja nivae bukta nikapige kimoja kwa wahaya ndio nije kula kweli??Hata kama akiamua kukuchit wewe umeshatimiza wajibu wako!!binadamu tuna mapungufu sana
mimi mume wangu anapennda akiwa nyumbani niwepo maana nisipokuwepo anamis mambo mengi maana anajua nikiingia nikitoka namtokea na nazi kipande tafuna baba,dafu,kachai katamu nusu kikombe ,kajuice ,kamaji kabla hata hajaomba.na vitu vingine vingi tu vizuri vya upendo haya mapenzi ni kwenda nayo kma mtoto.mume ajaliwe kama mtoto,na mume umjali mkeo,sio unakuja kulalama hapa je!ulishamkaribisha mkeo maji,umemfanyia mangapi ya upendo kiasi nafsi yake imsute??? jirekebishe!!