Mke wangu hana nidhamu?

Mke wangu hana nidhamu?

Pole sana,lakini vitu vingine vinazungumzika kwanini usikae chini na mkeo na kumwambia kwa upendo.
 
Mbona sisi tumeoa huko kaskazini na tunafanyiwa ya mahaba bwana? Ni huyo mwanamke tu. Kaa naye,mpe elimu kidogo. Mwambie,mke wangu nakupenda sana lakini katabia ka kutonyenyekea kanani hasira sana. Jirekebishe,nami nitakupenda zaidi halafu mwangalie anafanyaje?
 
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!

Kwa maelezo uliyoyatoa, inaonekana ni wewe ambaye huna nidhamu.
Mkeo amekutayarishia maji moto na amekuwekea tayari bafuni bado unataka akukaribishe,akuombe ukakoge?

Unaomba msaada....Ufanye nini?
Mwoneshe mfano. Kama mara tatu hivi.
Mtayarishie mkeo maji ya kuoga halafu mkaribishe " karibu mke wangu ukaoge maji yako tayari bafuni".
Kwa siku tatu mfululizo, ataelewa somo. Piga moyo konde na tekeleza ushauri. Huwezi amini, atabadilika na utapata hiyo nidhamu uitakayo.
 
nyie ndo mkitafutiwa nyumba ndogo mnakimbilia kwa wagaga kienyeji kunusuru ndoa zenu wakati unaiua ndoa ni wewe mwenyewe kwa mikono yako na kukosa maarifa.MWANAUME KWANGU NI MTOTO WANGU MKUBWA!!!

Umenena wangu, waache wawe waJESHI kwa waume zao!!

KUNGURU KIBAO MJIN!!!I JIHADHARI KABLA YA HATARI

Haya haya smallhouse mjini changamkieni deal zidisheni MAUJUZIIIIII.......... yale mliyopewa na kina bibi AIBU tupa kuleee......
 
POLE SANA. MKUU WEWE MBONA UNACHELEA, MWANAMKE ANAFUNDISHWA KAMA pana kitu hakijui ni jukumu lako, tumia mbinu, mfanyie kwanza, kisha angalia kama atatenda.
wanawake wengi wanamatatizo, sisi wanaume tukiamua kusema kasoro za wake zetu, utakimbia, wengine ni ktk tendo, wengine jikoni, ona wako ni ukarimu, dawa kubwa ni kujiamini, tafuta siku moja mtoe outing, ukiwa umenote matatizo yake, amua ukamwambie au usubiri, mkirejea, kumtoa outing ni kumuandaa, usimwambie kitu, hadi siku nyingine, ila usikawie sana. wanafanya hivyo kwa sababb nyingi, mwingine anamfanyie mwanaume mwingine, wakati mwingine kaka ndoa umefoce, anakipenzi wa moyo wake, pengine amekujengea dharau, hatari sana hii, pengine hujiamini...wewe mwanamke hata kama ataongea pointi ya kumpeleka chuo kikuu cha harvald marekani mwambie katika siku ambazo umeongea upuuzi, ni leo, unammaliza makali yake, hii ni nzuri kwa madem wanaojifanya wajuaji
point yA MSINGI HAPA NI KWAMBA KUMBUKA UMEMUOA HAJAKUOA

pia, chukua kidaftari chako notedown makosa, kasoro, ukiona zimeenea, mpe azosme, kaa chunguza kama atizizngatia, ukipita muda hajafanya lolote, rudisha kwao, si kumuacha, noo akakae kwanza, anaglizo, huu ndio uanaume, kama muoga ujue umeliwa mkuu..
katika hili hakuna kuogopa,
ndio mwanaume ni kama mtoto anatakiwa abembelezwe, lkn pia mwanamke ni kipofu usipomuonyesha njia anapotea
 
Mi bado msimamo wangu uko pale pale. Ndoa za siku hizi ni shida tupu. Vijana wanakosa mafunzo ya ndoa. Wao mradi wamejua kufanya mapenzi basi wanafikiri ni kila kitu. Ndoa sio sex tu. Ndoa ina mambo mengi sex ni sehemu tu. Sasa msichana kama anaolewa hapewi mafunzo yoyote eti mradi wamefanya hiyo kitchen party ambayo nayo ni upuuzi mtupu unafikiri ndoa itadumu? Vivyo hivyo na mwanaume naye mradi anajua kufanya mapenzi basi anaona ndio kila kila kitu hajui mke nae ni ua la kuliangalia, sio unataka uangaliwe wewe tu.
 
watu wengi wanakosea wanapokwenda kuoa mara nyingi mwanamke hujifanya mnyonge sana baada ya kuolewa hiyo ni kukuchuma wewe ukilowea ndio imetoka kwako, lazima uweke mkakati pale pale mwanzo na sheria ngumu mwanzo ukisubiri baadae ndio imekula hiyo
Bado hujachelewa unaeza kumuendeleza unavyomtaka awe jaribu kumtafuta mapungufu yake ndio uanze kumbadilisha lakini lazima uwe na msimamo
 
Wewe kuna kitu lazima ulishaharibu ktk ndoa yako muulize ubadilike mambo yaendelee aache hasira. Yaani hasira zile za sitomfanyia apendacho kukuudhi.
 
wanaume bwana mnaboajeeee
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo

Nampa pole bwana ako km umeolewa maana atakua amekurupuka kuwa na ww au km hujaolewa basi utaemdelea kutumiwa km condom
 
Kama ni wale watani wangu wa Tarime a.k.a kanda maalumu usishangae hawajui kubembeleza.
 
Tafuta nyumba ndogo chai utanywea bafuni utaogeshwa utasuguliwa utapakwa mafuta itachanwa nywele kila huduma unayokosa kwa mkeo hapo utaipata Mara Tatu yake



hapo kwenye red - sio huduma tu atapata - NA MAGONJWA YOTE ASIYOKUWA NAYO MKEO PIA UTAPATA - ONGEZEA
NA MATUMIZI ASIYO KUWA NAYO MKEO - HAPO UTAYAONA.

Tafakari
 
Kama ni wale watani wangu wa Tarime a.k.a kanda maalumu usishangae hawajui kubembeleza.
Nambembeleza darling, atengeneze bafu la kisasa, ili tufaidi wote.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    17.9 KB · Views: 72
  • image.jpg
    image.jpg
    9 KB · Views: 61
Huyu "Amu" naye ni Mmoja wao kutokana na Majibu yake. Kwa Hilo suala la Nyumba ndogo ni vigumu kuliteketeza kutokana na Vijitabia kama hivi.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom