bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Tatizo wanaume wengi mnapendwa kubembelezwa hata ambako hakuna maana. Maji kakuwekea bafuni. Mpaka akuambie karibu?
Binafsi naona kama jambo dogo sana kwa mtu mwenye mapenzi ya kweli kwa mkewe au mmewe. Labda kama anatumia lugha mbaya. Je akikwambia maji tayari utaridhika au mpaka uambiwe karibu maji ya kuoga? Mambo madogo madogo husiyatilie maanani yatakuvunjia ndoa na kuleta dosari ambazo hazina maana.