Mke wangu hana nidhamu?

Mke wangu hana nidhamu?

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    19.9 KB · Views: 66
  • image.jpg
    image.jpg
    30.9 KB · Views: 66
Last edited by a moderator:
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!

Pole sana ndugu mie linalo nikabili kwa mke wangu akiwa anatoka kazini akifika karibu na maeneo ambayo huwa namchukua kwa gari yetu...pasipo kujali kuwa toka asubuhi atujaonana au hata kuongea badala ya kunitumia sms ambayo itaanza na salamu matokeo yake hilo kwake ni mwiko yye utuma sms uko wp? akuna salam akuna vionjo vya mapenzi kama ambavyo huwa namuwekea wakati nikiwa namtumia sms huwa inaniuma sana
 
Tafuta nyumba ndogo chai utanywea bafuni utaogeshwa utasuguliwa utapakwa mafuta itachanwa nywele kila huduma unayokosa kwa mkeo hapo utaipata Mara Tatu yake

Umesahau na pu ..u zitawekwa kwenye kisosa!
 
mimi nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 10 na mpaka leo nikiweka chakula namkaribisha mume wangu "karibu mpenzi chakula" bafuni kwangu kuna maji siku zote tunaoga pamoja na several times ninamuogesha, namsugua miguu, namkata kucha, namchana nywele, nampasia nguo zake,,hata perfume ni mimi nampulizia...sio mara moja nampelekea chakula ofisini"lunch box" kwa surprise....naingia jikoni several times namuandalia vitu spesho hasa week ends ninapokuwa siendi ofisini... lkn bado alinicheat ...nyie wanaume bana hata mbebwe mgongoni na mbeleko hamriziki......

Lakini bado uko naye? Ha ha ha ww ungenifaa sana
 
Tabia za watu wa Pwani, Lakini kutwa kucha Talaka, talaka , talaka. Sipotezi nguvu zangu, bila kuwekeza ndani ya nyumba, hakuna huduma, full stop.

na wala mimi sio mtu wa pwani, mimi kwetu bara..na si kwamba mimi ni mama wa nyumbani la hasha nina masters yangu na nimeajiriwa na nina mshahara mkubwa kuliko hata huyo mume wangu so namzidi kwa sana tu.....
lkn pamoja na kuwa msomi na kazi nzuri bado nafanya hayo hapo juu na wala sijalazimishwa ni mimi mwenyewe kwa mapenzi yangu na mazoea tangu nilipoolewa....kwa tabia ya kucheat ni mtu tu
 
Lakini bado uko naye? Ha ha ha ww ungenifaa sana

nipo nae, ameomba sana msamaha nikamsamehe na tunaendelea kuishi vizuri japo nikikumbuka moyo unaniuma lkn ndo hivyo tena yeye ndio baba watoto wng..
kuna watu wanasema mimi ni mtu wa pwani, wala mi si wa pwani na shule nimekata na kazi nzuri ninayo, basi ilimradi ktk maisha hakukosekani misukosuko
 
nadhani na wewe Snipper pia huna adabu
ulioa mke kumtumikisha au mlioana ili kujenga familia yenye upendo?
wanaume wa afrika acheni ujinga wa kuwaona wanawake ni watu wa kuwatumikia.
na nyie wanawake acheni kukubali kutumikishwa.
kila mtu ndani ya nyumba awajibike kama ni maji ajiwekee mwenyewe na hata kupika nae aingie jikoni
unakuta mkeo ana watoto anawahudumia wewe unatoka job
husaidii lolote kwa watoto unataka mkeo akuweke maji
hivi mkisoma hamwelimiki? tokeni kidogo muone kwa wengine wanafanyaje.
mwanaume mwenzangu umeniudhi sana na ulichopost.
kuanzia kesho jiwekee maji mwenyewe,nawe ingia jikoni msaidie mkeo kupika, ogesha watoto,asbh waandae pia kwenda shule,utaona upendo kwa nyumba yako unakuwa maradufu na utaishi maisha marefu,acha kule kitambi kwa uvivu hata wa kujiwekea maji.
Im married,hatuna housegirl, I used to do all domestic activities kw auwezo wangu, watoto wanaenda shule asbh wote na sisi mihangaiko yetu and we are happy for ever.

waoo! Wewe ni mwanaume wa ukweli!
 
hayo ni maji chakula je? upendo kwa ndugu na marafiki ukoje? ushirikishwaji mipango ya kifamilia na kiuchumi ikoje?je ni muajiriwa au mama wa nyimbani ,anamradi wowote toa ufafanuzi mdogo kwa haya utasidiwa ndoa bado changa sana .
 
" ameomba sana msamaha nikamsamehe na tunaendelea kuishi vizuri japo nikikumbuka moyo unaniuma lkn ndo hivyo tena yeye ndio baba watoto wng.."

kuna watu wanasema mimi ni mtu wa pwani, wala mi si wa pwani na shule nimekata na kazi nzuri ninayo, basi ilimradi ktk maisha hakukosekani misukosuko

Wewe kamusi, huduma zote hizo, ndio maisha yako? SHIT!!
 
Last edited by a moderator:
HAya anza mipango ya kujenga fasta muwe na kwenu

Hata kama ni ya tope

hapa tunapoishi tumepanga chumba na sebule na hakuna namna ya kuweka bomba bafuni...kuhusu kucheat..kwangu hilo ni kosa ambalo halisameheki maana hata mimi njitahidi kuliepuka!
 
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!
ha ha ha ha, u are the snipper why dont u shoot her from a distance,,,,
 
Hii inatokana na high expectations kwamba ukiingia kwenye ndoa basi mkeo atakufanyia mambo yote hayo...mimi zamani ilinisumbua mno..yaani hakuna kuwekewa maji,wala chakula,wala kufuliwa,wala kupokewa vizuri nikitoka kazini(mama akiwa likizo) ,mwanamke hatumiki kabisa yaani ukimtuma kitu mara mbili ugomvi!!!nikimweleza ni ugomvi kwenda mbele....kwa sababu ni msomi na mwanasheria...nika conclude ndio walivyo...nikaamua kum-ignore na kujifanyia mambo mwenyewe...mapengo yote yanazibwa na nyumba ndogo(kweli wanaimarisha ndoa) ...maisha yanakwenda mbele ktk mtindo huo now almost 10yrs
 
Kwani ukijiwekea maji mwenyewe hautakati mwili? au akukaribishe kwa kubembelezwa na kubebwa mpaka bafuni je ndo unatakata zaidi mwili?
 
adabu hizo za maeneo mengine umeziona wapi? au nyumba ndogo? ila kwa suala lako inatemea mkeo amelelewaje? labda hayo ni mageni kabisaaa kwake
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!
 
Wanaume wetu bwana, bora atafute nyumba ndogo kuliko kutengeneza bafu zuri la kupunguza shughuli zisizo na tija asubuhi, khaaaah!!

asubuhi ndo kila kitu jamani, starehe hadi kieleweke.
Unaishi kwa nadharia kuliko uhalisia unadhani kila nyumba unaweza kuweka hizo bafu za kisasa?
 
Kwani ukijiwekea maji mwenyewe hautakati mwili? au akukaribishe kwa kubembelezwa na kubebwa mpaka bafuni je ndo unatakata zaidi mwili?
ambebe mdada wa watu atoke chembe ya moyo????
eti kabisaaaa analalamika mke wangu hanibembelezi akiniwekea maji kuoga
ebooo yaani mkeo atakuwa ana shida sana inaonekana wewe si muelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom