Mke wangu hana nidhamu?

Mke wangu hana nidhamu?

Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona katika maeneo mengine. Kwa mfano anaweza kuandaa maji bafuni na kuniambia...nyanyuka ukaoge maji yako bafuni...hivi ina maana anshindwa kusema maneno kama karibu mme wangu ukaoge maji yako tayari bafuni? Hata kwa chakua hali ni hiyohiyo.
Kutokana na hili pamoja na mengine nimekuwa nikimchukulia kuwa hana adabu kwa mme wake au nakosea wadau?
Naombeni msaad wenu nifanye ninikumfanya anitendee ninavyopenda kutendewa maana nikimwambia kuwa sifurahii jinsi anavyonifanyia anaonekana kunishangaa tu na kuishia kunilaumu eti labda nina visa vingine tofauti na hilo!
ifanye nini ndugu zangu? naomba mnishauri tafadhali!

Hii imenivhekesha, sijui kwakuwa sijazoea kunyenyekewa.
Kwa upande wangu sitapenda kuwa na mke ambaye ni too innocent. Aniletee maji ya kunywa wakati ananikabidhi apige goti, sijui akiongea nami awe kama yuko madhabahuni anatubu kwa kweli nahisi nitakuwa nijihisi kama ananiogopa sana.
Mimi napenda mke/mpenzi ambaye yuko kawaida nikiwepo akinipelekea maji bafuni aniambie kwa lugha yoyote ili mradi siyo tusi..
 
we Nonda unataka mwenzio uanaume wake upungue? Hujui wanaume wanalelewz kama watoto????????

Anatakiwa amwoneshe mfano mke wake. Mke atajifunza nidhamu.Mke akiwa na nidhamu uanamume wa bwana snipper utaongezeka, hautapungua.
 
mnapenda mno kutukuzwa? ndo maana mwanamke akijifungua akiwa busy na mtoto pia mnalalamika kuwa mapenzi yamehamia kwa mtoto, kila kitu mwataka mfanyiwe Loh......kazi ipo.
 
Unaishi kwa nadharia kuliko uhalisia unadhani kila nyumba unaweza kuweka hizo bafu za kisasa?

dancani, gharama ya nyumba ndogo mnayoshobokea mbona ni kubwa kuliko Hilo bafu, wanaume pangeni vizuri maisha yenu.
 
Last edited by a moderator:
dancani, gharama ya nyumba ndogo mnayoshobokea mbona ni kubwa kuliko Hilo bafu, wanaume pangeni vizuri maisha yenu.
Siungi mkono nyumba ndogo ila nilichokuwa namaanisha ni kuwa huwezi jenga bafu kila nyumba unayokwenda maana sio wote wanaishi kwenye nyumba zao na sio kila nyumba ina bafu nzuri pia ujue bafu inakuja baada ya kukamilisha ujenzi wa nyumba hata kama ni nyumba yako, Ila bafu ingekuwa kama friji au TV hapo ningesema sawa kuwa ni vzr kujitahidi unapohama unakwenda nayo
 
Yale yale ya kufunga gidamu (kamba za viatu) yanaelekea huko huko..........................!
 
We hukumuona kabla ujamuoa kwamba hajui kubembeleza? mbona ulimuoa hivyo hivyo? kila mtu ana mazuri na kasoro kidogo pia. so mrekebishe kwa upendo na utaratibu. ataelewa tu.
 
Sio sahihi kufikiri hana nidhamu kwa hilo tu, je kuna mengine yanasababisha ufikirie hivyo?
 
hivi mkuu umsoma vzr post yangu??

mm nimempa option mbili na nikaaanza na ile ambayo inawezekana kwa kila mtu, je kutoa alternative nyingine ni mbaya??
hata kwenye EIA project alternative inaruhusiwa so kama wewe huelewi uulize na sio kuzodoa as if umepata

Haleluya....!!
 
Wanaume wa kibongo bwana hata maji ukalibishwe?? kimekuwa chakula ...Kaoge huko acha uchafu...:lalala:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom